Kumbe Kanye West ni Shemeji !!!??

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Tanzanian supermodel Miriam Odemba is back in the game in a big way. The mother of one who had taken time of the run way has quickly got her 36-25-36 shape back and is already rubbing the loins of A-listers. Miriam . was amongst the few people that attended Kanye West unveil his second collection in Paris two nights ago.And she got the rare opportunity to entertain the showbiz king. The party had stars like Nigerian star D’banj,P.Diddy, Alicia Keys, Swizz Beats, Cassie, Common, Big Sean, Kim Kardashian, Azealia Banks rapper Waka Flocka Flame, Pusha T and others.
 
Si mpaka atoke nae Kanye antoka na Kim Kardashiana habari ni kwamba wamerudiana huyo Miriam alikutana nae tu kwenye party kama ilivyo kawaidia watu wanao ishi ulay . Mtu anafanya catwalk kwenye pub mnaongea nini nyie.
 
Utakuwa umesoma habari hii u-turn, vipi atoke nae kwani keshamdiss kile kibabu chake ambacho hakina meno?
 
tofauti ya wanamusic wa america na hapa kwetu ni kubwa sana sio kupapatikia madem kila wanapokutana nao club na kujiona wanastahili kumpata kila aliye mbele yake! i think kanya west is far too controlled to date someone whom they just met in the club!
 
Odemba alivuma sana enzi zake!
miiiiiiiiii.jpg
 
hata marehemu Lucky Dube alishaambiwa ana mtaka Mtangazaji wa CTN nyakati hizo kwa kumuuliza tu swali UMEOA?
 
Tanzanian supermodel Miriam Odemba is back in the game in a big way. The mother of one who had taken time of the run way has quickly got her 36-25-36 shape back and is already rubbing the loins of A-listers. Miriam . was amongst the few people that attended Kanye West unveil his second collection in Paris two nights ago.And she got the rare opportunity to entertain the showbiz king. The party had stars like Nigerian star D'banj,P.Diddy, Alicia Keys, Swizz Beats, Cassie, Common, Big Sean, Kim Kardashian, Azealia Banks rapper Waka Flocka Flame, Pusha T and others.

hapo kwenye bluu panamaanisha nini,alimuenterntain kivipi,watanzania wamenituma kuomba uwafafanulie hapo maana unaonekana uko proud sana na ulichokiandika.
 
Back
Top Bottom