Waswahili wanasema Waarabu wa Pemba hujuana kwa Vilemba..hii ikiwa na maana zaidi kufikiria kwamba kila mwarabu ni Mpemba..Vilemba vyao ndio kitambulisho na sii rangi au lugha!Wakuu tatizo la Tanzania si nani kasema nini lini na wapi. Cha msingi ni nani kafanya nini lini na wapi. Maneno ya hawa woooote JK na genge lake yamekuwa na utata mara nyingi sana. Kitakachosemwa kinaweza kumaanisha kitu kingine kabisa au ni mtego wa kumyaka ngedere mwingine aliye mbali!!!