CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Wakuu nina takribani 13yrs hapa Dar but nilikua sijawahi kula vile vipande vya pweza.......kwanza nilikua naona kinyaa sana.......but leo jioni one of my friend kanitembelea.......baada ya kukatiza mitaa kadhaa tukaikuta hii kitu...jamaa ni mwanachama mzuri wa hii kitu..so akaniomba niitest...ile kutafuna kipande kimoja tu mimi hoi kwa utamu...so nikaongeza more 6pcs...kumbe hii kitu tamu namna hii...na kesho ntaitafuta ingawa iko expensive sana lol.