Kumbe hii kitu tamu namna hii dah!!

Yaani huyu pweza ninayemfahamu mimi au mwingine hata ukipita pale Buguruni unapata au pale Feri?

Ughari huo umetokea wapi? Labda kama ni pweza mtu hapo sawa!!!!
Yes pweza huyo huyo unayemuona anauzwa pale maeneo ya buguruni mkuu!
 
Hamna lolote, acha kasumba za ajabu.
Basi huku kwetu sote tunafata dini ya mashetani. Mana pweza tunakula sn km kiToweo, tn tunapika kila style..
Aliyekufundisha kula ni nani? nina uhakika si wazazi wako! kasome vitabu vya dini ndio utajua hayo madudu kama ni halal au lah!

Nakushauri uache kula madudu ya Ajabu ya baharini simple tu. Angel Nylon(Lailoni)
 
Mwambie huyo kilaza!
Aliyekuzaa ndie kilaza sana kwani kakuzaa galasa Kosome mambo ya Dini sio Kutoa maneno ya wajalaana.... tatizo lako una papara kama mzaramu vile fanya utafiti sie tushafanya wacha kutoa mapovu
 
Aliyekuzaa ndie kilaza sana kwani kakuzaa galasa Kosome mambo ya Dini sio Kutoa maneno ya wajalaana.... tatizo lako una papara kama mzaramu vile fanya utafiti sie tushafanya wacha kutoa mapovu
Kitabu cha dini gani kinazuia?au kile kile kilichozuia kitimoto?Gosh!!
 
Aliyekufundisha kula ni nani? nina uhakika si wazazi wako! kasome vitabu vya dini ndio utajua hayo madudu kama ni halal au lah!

Nakushauri uache kula madudu ya Ajabu ya baharini simple tu. Angel Nylon(Lailoni)
Wee, ntake radhi enhee! Nimekula kwetu, na walonifundisha kula na wazazi wangu. Pweza ni km vitoeo vengine vya pwani, km samaki, ngisi, chaza na hata prawns na lobster.
Mm ni muislam na kitabu changu cha dini hakijaniharamishia kula hayo unayoita ww madudu.
Nimeharamishiwa kula vitu vyenye madhara kiafya na sumu tu baasi
 
sasa naanza kumuelewa Duduwasha kuna jambo la kutafakari hapa!
Na ww ndo walewale, mnataka kumharamisha pweza leo??
Kilohalishwa na Mwenyezimungu kamwe mwanadam hawezi kukiharamisha.
Pweza tutaendelea kula km kawa, tn mtamu kweli km mtoa mada alivosema. Naomba utafakari kweli, na angalia logics na sio maneno hovyo tu ya watu
 
Last edited by a moderator:
Pweza bwana !!!!!!

wanasema hana mfupa huyo, waweza kumla hata gizani, ni wewe tu na uwezo wako wa kula na vionjo uvipendavyo
 
Wakuu nina takribani 13yrs hapa Dar but nilikua sijawahi kula vile vipande vya pweza.......kwanza nilikua naona kinyaa sana.......but leo jioni one of my friend kanitembelea.......baada ya kukatiza mitaa kadhaa tukaikuta hii kitu...jamaa ni mwanachama mzuri wa hii kitu..so akaniomba niitest...ile kutafuna kipande kimoja tu mimi hoi kwa utamu...so nikaongeza more 6pcs...kumbe hii kitu tamu namna hii...na kesho ntaitafuta ingawa iko expensive sana lol.

Jaribu na ile kitu nyingine ya kikatoliki
 
lol = laugh out loudly. Nani atakiwa kucheka? Wewe mleta thread au mimi msomaji? Hiyo lol inanikwazaga sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom