Kumbe hata viongozi wa juu wa ccm wanajua kuwa kushika dola 2015 ni ndoto

Nikisoma taarifa hizi nasikia kichechefu kabisa.Yaani watanzania wenzetu wanafanya vitu ambavyo wanajua dhahiri kwamba havina maslahi kwetu?!Mbaya sana.
Hakika yeye ndiye rais wa mioyo ya wazalendo wa Tanaganyika (Ni Dr W. Slaa)
 
Lu-ma-ga, Chadema iko moyoni mwako...? ipende.. waambie ndg zako. mama yako, baba na dada zako na wale mliosoma nao shule ya msingi, watumie msg kiukombozi wambie kwamba umaskini wan umeletwa na ccm, waambie waichokie na waigope ccm kama ukoma na kwamba 2015 wasifanye makosa, haijalishi ni nani tutakayemsimamisha.. awe mboye..Dr slaa, zitto au prof safari ni lazima tutashinda
 
Chadema walishasema hawana muda wa kuanza
kufuatilia nani kaiba nani hajaiba kwani CCM wote wezi
hakuna mbunge au waziri kati yao alie msafi
wao wanasonga mbele kumkomboa Mtanzania wa kweli
wezi na mafisadi msiogope anzeni kurudisha mlivokwiba serikali au saidieni jamii ifaidi
lakini 2015 ipeni kura chadema
 
nakubaliana na analysis yako, japo iko obvious kabisa. sidhani kama inahitaji tafiti ya kitaalamu kujua kuwa ccm haitoshinda 2015. inf act hata 2010 haikushinda. sema itashindwa kuchakachua 2015 manake matokeo yatakuwa obvious zaidi.

hofu ya kusilisiwa iko wazi na hicho ndo kitakuwa kiranga chao. hata akija lyatonga mrema kuwa rais ajaye, lazima atafanya jitihada za kuwafilishi walioifisadi nchi hii chini ya ccm. atakuwa hana uchaguzi, manake hiyo ndo presha ya umma na ndiyo itakuwa imeuingiza upinzani ikulu.
 
JK na genge lake walitudanganya muda wote na sasa wamegundua unaweza kumndanganya mtu kwa so long. Ukweli ni kwamba sisi sii wajinga kiasi hicho. Hata wamwekee mkwara namna gani Dr. Slaa ndiye rais wa kweli wa watanzania. 2010 alipita vizuri tu ila kura zikashughulikiwa. Ndiyo maana JK ameendelea kuwa tahira anayekimbilia vibembeo na matoroli ya wazungu wanaozidi kumchanganya kila kukicha.
 
I am out of here.
Kwenye hilo boksi haingii mtu!

Mkuu Hilo box linawahusu ccm Kiukweli Na aliyetengeneza nimemkubali kwa asilimia 100 ila slaa ndio prezda toka 2010.
Mbowe hagombei Hata kura ya maoni maana anajua slaa anakubalika na isitoshe Hana tamaa analinda heshima yake sana kuliko fedha zake ndio maana huwa aropokagi Kama wengine.
Zitto hatopita kwenye halmashauri kuu kwahiyo ataota uraisi na kuukosa ubunge mark my word
 
Jana nilikutana na kada wa ccm kutoka kanda ya ziwa ni rafiki yangu sana, ni mmoja kati ya wanamtandao wa 2005 waliomuweka JK magogoni. Ni mtulivu anajua siasa za kati ni non biased figure, baada ya kuongea naye muda mrefu sana hiyo jana summary yake ya mazungumzo ilikuwa as follows;
  • Wanaamini kuwa hakuna mgombea wa ccm anayeweza kuchuana na CDM whether slaa, Mbowe au Zitto atakayegombea, wanaamini kwa sasa cdm iko mioyoni mwa wananchi hasa baada ya tafiti zao kutoa majibu hayo.
  • Lowasa anaonekana hajajisafisha nje ya ccm japo ndani ya ccm anaonekana msafi hataweza ku-compete na any candidate wa cdm among the big three guns.
  • Wanaamini kuwa kambi ya JK and BMW haitaweza kumvusha Membe kwani nepotism imekitia doa chama hasa kujaza watoto wao.
  • Kambi zote za ccm baada ya mchujo zitaibuka na uadui mkubwa na hivyo kuwa radhi kumaliza kwa WOTE TUKOSE na hivyo CDM watavuka by any candidate among the three.
  • Kumbe CCM wanamuogopa sana Dr.slaa, kwa misimamo yake ya kusimamia rasilimali na wao ccm wanaamini akiingia madarakani huenda wengi wakafirisiwa kutokana na ufisadi waliofanya.Kwa hiyo wanachokifanya ni kuhakikisha mgombea urais kutoka CDM anakuwa Mbowe au Zitto.Hili wanalisimamia kwa udi na uvumba kuhakikisha hao wawili wanatiwa hamasa ili wachuane na dr.slaa kura za maoni.Ndiyo maana zitto amelewa ahadi hii kwa kujua atamwangusha tu mbowe.Huku DR.SLAA akishughulikiwa na dola la ccm
  • Wanataka kuhakikisha mbowe na zitto hawapakwi matope na ccm ili waendelee kuwa wasafi wasio na siasa chafu za vurugu kama za dr.slaa kulingana na madai yao.
  • Wamejipanga kuhakikisha Dr.slaa anapakwa matope ya kuwa mpenda vurugu kwa kuwa tayari watanzania walishaaminishwa kuwa vyama vya upinzani ni vya vurugu.
  • Wako tayari kutoa reconciliation kati ya mbowe na zitto ili kambi zao zije ziungane na kuhakikisha mmoja anakuwa rais na mwingine PM kwa masharti ya ku-protect interest za mafisadi
Mwisho amesema Dr.slaa ndiyo pekee anayeweza kuifikisha Tanzania CANAAN nchi ya maziwa na asali ila hofu yao pesa zao za ufisadi itakuwaje??? ndiyo maana wasema NO for Dr.slaa and YES for Mbowe and Zitto kabwe

Hilo nalo neno!!
 
Ninachoweza kusema japo cdm imaimarika chini ya uongozi Mbowe lakini the prominent figure to his successifulness was dr. Slaa ninaamini na nitaendelea kuamini bila Mbowe kuwa chini ya mwavuli wa dr. Slaa Mbowe asingekuwa na umaarufu kama alionao.
 
Matumaini yetu kwa CDM ni kwamba itaondoa Ufisadi na rasilimali zetu zitaanza kutumika kwa manufaa yetu sote. hatuhitaji mabadiliko ya sura. Mafisadi lazima wafilisiwe kwa manufaa ya taifa, after all mahela yote hayo matrillion wanataka ya nini? Itabidi hayo matrillion yatumike kujenga nchi na kutoa huduma muhimu kwa wananchi, ambao wengi wao wanataabika hata kupata tu maji ya Kunywa. Kama dr Slaa wanamwogopa kwa ajili hiyo basi yeye ndie anatufaa watanzania
 
Yani kwakweli cdm isipo msimamisha dr slaa mimi mwenyewe binafsi cdm kura ya urahisi wameikosa huyu jamaa ameniinspere kwa kiasi kikubwa sana mpaka nika ipenda cdm,alafu nikaanza kumfwatilia kiukweli kunajaa mmoja alinipa stori za kwake karatu mana ni majirani huyu jamaa kiukweli ana tamaa zakijinga za maisha xa anasa,isitoshe watanzania kwakupenda vitu visivyo na manti tunaögoza ila dr slaa jembe jamani.[/UMENIACHA HOI KWA KICHEKO. HII INAMAANISHA NI JINSI GANI MTU/WATU WAKIPENDA KITU HUWEZI KUWABADILISHA . BIG UP SANA!
 
Yani kwakweli cdm isipo msimamisha dr slaa mimi mwenyewe binafsi cdm kura ya urahisi wameikosa huyu jamaa ameniinspere kwa kiasi kikubwa sana mpaka nika ipenda cdm,alafu nikaanza kumfwatilia kiukweli kunajaa mmoja alinipa stori za kwake karatu mana ni majirani huyu jamaa kiukweli ana tamaa zakijinga za maisha xa anasa,isitoshe watanzania kwakupenda vitu visivyo na manti tunaögoza ila dr slaa jembe jamani.

Pamoja sana mkuu mi binafsi km cdm isipompitisha Dr.slaa kiukweli sintopigia kura cdm,namkubali sana Dr.slaa Mungu azidi kumpigania dr.slaa
 
Na watanzania tunafahamu hila za ccm kutaka kufanya kila mbinu kuleta vurugu ndani ya Chadema ili wapate pa kuponea.
Kwakuwa wametuibia sana na jambo la kwanza itakuwa ni kurejesha fedha na mali zote walizokwiba mikononi mwa umma tuko tayari kusimama imara kuhakikisha kwamba Dr. Slaa ndiye mgombvea wetu kwakuwa tuna uhakika kazi tutakayomtuma ataifanya kwa ukamilifu.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Dr Slaa, dr wa ukweli asipogombea urais 2015 narudisha kadi ya cdm. pia likitokea naweza hata kuhamia sudani kuliko niishi nchi isiyo na hope.
 
pamoja sana mkuu,Dr Slaa ndiye alisababisha hata ndugu zangu wote kuchukua kadi ya CDM.hakuna kama Dr Slaa Tanzania.hii ni kichwa jamani......

Hivi kuna anayebisha khs hili? hata zzk mwenyewe analijua. Ni wale tu wana mpoteza aropoke ropoke ili awafurahishe. Mtaji wa zzk wa vijana na wale ndg zetu kiimani wanapandikizwa tu kwa malengo. Ndio maana cdm haijamhoji zzk hata chembe, wananchi na wapiga kura wataamua. Tena aangalie hata uwaziri wa madini 2016 atautia doa.

Mikoani watu wanataka huduma yake hatumwoni
 
"one world order wakitaka dr. Slaa awe raisi hakuna cha zito wala mbowe watafurukuta"


Who are these...What I know they will bow before the King of glory..Not this time....Hakuna wakumpiku Dr. W.P. Slaa....I made a promise to naminate my candidate....Its done in Jesus name!
 
Dr Slaa, dr wa ukweli asipogombea urais 2015 narudisha kadi ya cdm. pia likitokea naweza hata kuhamia sudani kuliko niishi nchi isiyo na hope.

Wala usitie shaka nimefanya h/w yangu nime maliza its Dr. W.P Slaa the next president.....Jua na mwezi vyaweza simama ama kuzimika kwa huu unabii kutotimia. Mafisadi anzeni mpango wa ku-reconcile mapema. Its done only manifestation awaiteth!
 
Back
Top Bottom