Kumbe Chadema Ni Watata Namna Hii...!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
MTANISAMEHE KAMA IMERUDIWA...


Mimi nilifikiri Chadema wakorofi bungeni tu kumbe mp[aka hotelini..!!
Jana wakati wanakula walianza (Wenje) "mwongozo wa mwenye hoteli, chumvi haitoshi"
Mnyika: "Taarifa mheshimiwa., mchuzi unaonekana wa jana siungi mkono hoja ya kulipia chakula hiki."
Tundu Lisu: "Mwongozo, mwongozo, niliagiza kuku wa kienyeji, niliagiza kuku wa kienyeji nimeletewa wa kisasa silipi"
Zitto: "Tume iundwe kuchunguza kama kweli mchele huu ni wa Mbeya"!!
 
Kweli imerudiwa na ushasamehewa aisee
Makinda ndio mhudumu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom