Kwa mujibu wa mbunge wa jimbo la Rombo mh Joseph R Selasini ambaye ni mjumbe wa kamati ya bajeti ni kwamba wizara ya ujenzi imepitishiwa around bilioni 500 ila wana deni la bilion 800. Kwa maana hiyo fedha hizo zinaenda kulipa deni na bado tutadaiwa.
Wakati huo huo katika bajeti iliyopitishwa mwaka jana 2013/14 baadhi ya fedha hizo zimepelekwa kwenye halmashauri mwezi uliopita i.e may! Nimebaki najiuliza hizi fedha zinaenda kuhudumia nini??
CCM HOYEEE!!