Kumbe ametoa bure!!!

popiexo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
742
182
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake
kwa ajili ya dinner na vinywaji.
Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea,
mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata.
Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza,
Fred (mgeni) alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa
ambaye hakuwa amevaa chupi.
Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakukugundua.
Baadaye kidogo, John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji,
Lisa akamuuliza Fred, "Umekipenda ulichokiona?"
Fred akajibu: "Ndiyo".
Lisa, “Utakipata kwa laki moja, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa”.
Ijumaa ikafika, Fred akaenda kwa John na laki na mchezo ukachezwa.
John aliporudi jioni akamuuliza mkewe, "Fred alikuja?"
Lisa akawaza, 'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa'.
Akajibu, "Ndiyo, alipita hapa mara moja".
John, "Safi, alikuachia laki moja?"
Lisa akawaza, 'Huyu atakuwa anajua'.
Akamjibu mumewe kwa upole, "Ndiyo, kaileta".
John, "Fred ni mwaminifu sana, alikuja
asubuhi ofisini akanikopa laki moja
na akasema atapita nyumbani akuachie mchana"
Lisa akabaki ametoa macho! Kumbe ametoa bure!!!
 
Japo ni copy lkn hapo ilikula kwa John 7bu hajui chchote kilichofanyika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom