Kumbadilisha rafiki kuwa mpenzi.

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
wana jf,
habari zenu.. Ni matumaini yangu kuwa ni wazima na mnajiandaa vyema na weekend.
Kama uzi unavyosomeka, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ni mwanafunzi wa chuo hapa jijini dar.. Katika maisha yangu ya sekondari nilijariwa kuwa na marafiki wengi wa kike japo shule yetu ilikuwa single yani boys tu.. Kati ya marafiki zangu wengine walikuwa watu wangu wa karibu sana hadi kufikia hatua ya mabwana zao kubreak nao nikidhaniwa kuwa mimi nawachukua,, cha kushangaza wale niliokuwa nawataka kimapenzi hawakunikubali lakini hawakuwa tayar tuachane kiurafiki na nimedumu nao mpaka sasa ninamawasiliano nao..
Sasa niko chuo nimempenda dada mmoja ambaye ni rafiki angu sana.. Yani ni zaidi ya marafiki na nimemsadia sana kimasomo.. Ilifikia hatua analia sana kwamba masomo ni magumu (engineering) rakini nimemshauri vzuri na anaendelea na masomo huku mimi nikizidi kumsaidia.. Ni rafiki angu sana..ila nimempenda kimapenzi japo nimekaa nae sana na mpenzi wake wa kiume namfahamu... Je, nifanye nini?? Nikiachana nae kuna hatar ya kudisco na mimi staki afail,, 2kiendelea na urafiki nazidi kumtamani kwani mda wote niko naye.... Msaada wenu wakuu.
 
hapo kwenye bold, uachane nae kwani kakufanya nini??
 
piga shule bana!mara nyingi ni ngumu sana kupoteza rafiki kwa sababu umetofautiana mawazo,lakini ni rahisi sana kupoteza mpezi kama hamko kwenye mstari mmoja kimtazamo!kuna marafiki wengine their too sweet to loose!amini usiamini utakapobonyeza nae hakuwa kweny hilo wazo mtakosana for gud!manake hukujali na kuheshimu mahusiano aliyopo!SO WATCH OUT!ukitaka kudsco utadisco tu tena utasambulumaaa kabisa!piga shule
 
aksante mkuu,,
 
Acha utotoo wewe, unanyimwa mambo sababu badala ya kuomba kuonja unaomba kuvunja shaaani!!! Nakuhakikishia we muombe huyo dada mgonge game za kirafiki ila kila mtu abaki na mtu wake, utashangaa anakubalije fastaa! We mwambi mjivinjarii sio kupeana commitment mbuzi
 
mhm sasa aewe tumia leverage bwana...wee sii unamsaidia masomo na unajua kabisa ukiitoa msaada wako yeyeatafeli...mwambie naomba kuwa tunajiliwaza pamoja ila endelea na bf wako maana wee umesema waendelea kumtamani na sio kumpenda so wit that naona wataka K. akikuyolea nje wacha nae a disxo kwani wee mzazi wake.
 
let me TRY..
 
tumezoeana sana nikimwambia mchezo hawezi kukataa kwani 2naheshimiana na ananikubali... But nitamnyima uhuru na b'friend wake hatochat nae nikiwa nae kwani mda mwingi nashnda nae.. Ila advantage kwangu b'friend wake yuko chuo cha jirani si mbali kutoka chuoni kwe2.
 
wana jf,
habari zenu.. Ni matumaini yangu kuwa ni wazima na mnajiandaa vyema na weekend.
Kama uzi unavyosomeka, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ni mwanafunzi wa chuo hapa jijini dar.. Katika maisha yangu ya sekondari nilijariwa kuwa na marafiki wengi wa kike japo shule yetu ilikuwa single yani boys tu.. Kati ya marafiki zangu wengine walikuwa watu wangu wa karibu sana hadi kufikia hatua ya mabwana zao kubreak nao nikidhaniwa kuwa mimi nawachukua,, cha kushangaza wale niliokuwa nawataka kimapenzi hawakunikubali lakini hawakuwa tayar tuachane kiurafiki na nimedumu nao mpaka sasa ninamawasiliano nao..
Sasa niko chuo nimempenda dada mmoja ambaye ni rafiki angu sana.. Yani ni zaidi ya marafiki na nimemsadia sana kimasomo.. Ilifikia hatua analia sana kwamba masomo ni magumu (engineering) rakini nimemshauri vzuri na anaendelea na masomo huku mimi nikizidi kumsaidia.. Ni rafiki angu sana..ila nimempenda kimapenzi japo nimekaa nae sana na mpenzi wake wa kiume namfahamu... Je, nifanye nini?? Nikiachana nae kuna hatar ya kudisco na mimi staki afail,, 2kiendelea na urafiki nazidi kumtamani kwani mda wote niko naye.... Msaada wenu wakuu.

Lizzy njoo mshauri huyu Mvulana! Nadhan kuna haja ya ya kuwa na mtaala wa KUTONGOZA vyuoni!

Dogo amua moja upige shule au uvunje ukimya!
 
Mapenzi mapenzi weeee yatatumaliza

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Aaron, enzi zetu wewe unaitwa MSHIKA PEMBE maana unakaa mbele ya ng'ombe kuhakikisha anakula vema mashudu na mkamuaji ahaaa na kibuyu chake taratiibu anakamua mzigo, yupo nyuma ya ngo'mbe ambako mashine ipo. Nakushauri uendelee kushika pembe kwa sababu mkamuaji unamjua kama ulivyosema mwenyewe. Utapata thawabu.
 
Back
Top Bottom