Kulikoni Watanzania? Nchi nyingi Wananchi wanaandamana Kupinga Hali Ngumu Lakini Sisi Kimyaaa!

wabongo wanapenda kuchonga sana na utapeli mwiiingi...vitendo ni zerooo...na hili ni kwa wote wasomi na wasioenda shule ...hawana tofauti ..bongo mwenye degree na asie nayo hakuna tofauti tena asie nayo anaweza akawa na afadhali c unaona hata matokeo ya uchaguzi darisalamu kwenye wasomi wanaojua mambo ccm inashinda kirahisi lakini vijijini kwenye wakulima inakwama!!!!aliesema ni kichwa cha mwendawazimu hakukosea hata kidogo.
 
Tunamatatizo up stairs, aliyetuloga kishakufa na wa kutegua hayupo na dawa hakuicha. Hivyo tupo kama misukule
 
Back
Top Bottom