Kulikoni Prof. Mwandosya kugoma kurudi Tanzania?

Jamani mbona tumekimbilia kuamishia lawama kwa Pro Mwandosya baada ya kutafiuta chanzo cha tatizo linalomzuia kuludi nyumbani jamani?

Jamni tuwe na utu wana JF,kwa kuwa great thinker daima uwa na utu,hakuna great think aliyetokea ndani ya dunia hii kuwa na roho mbaya na chafu.Hivyo sitegemei ujiite great thinker harafu uwe na roho ya kwanini au korosho basi wewe sio.

Tuvae viatu vya Mzee huyo jamani,aalienda kama mgonjwa na sasa,uenda kapata aueni na kama taarifa hiyo ni kwali basi sie wana JF tujiuulize kulikoni tena nini?

Sio kumwagia lawama ho mara kodi yetu,wakati kaumia akiwa anawatumika nyie nyie.Hakika mnajua JF ni jukwaa ambalo linasaidia japokuwa sio chombo cha chenye mamlaka ila kupitia yanayojili humu majibu na matokeo upatikana.

Tutafute sababu kwanini hataki kuludi nyumbani?
 
Anaiogopa Nchi yake; Hawezi kurudi Bongo...

Naona Mwakyembe pia hata rudi...

Wajiuzuru na ubunge ili waachane na siasa uchwara za ccm halafu tuingie kwenye by elections,halafu kampeni meneja upande wa cdm awe sugu
 
Labda kapata shavu la kubeba boksi huko India.
Mkuu India ni moja ya sehemu DUNIANI ambapo ajira kwa wageni zinadhibitiwa kwa sheria Kali. Hakuna part time kule wala kubangaiza. Swali ni kwanini hataki kurudi? Haja miss hata mchele wa kyela? Au amependa basmati na parota?
 
ni nani miongoni mwetu awezaye kurudi kwa baba aliyemnywesha sumu kwa dhumuni la kumuua??
 
Nchi inaendeshwa kama Dangulo,Kila mtu anakuja na lake ili aonekane mzuri au mkweli kwa jamii.Muulizeni vizuri Dr Mponda nini kinamzuia Prof.Mwandosya kuondoka India kuliko kuja na majibu mafupi mafupi haya ambayo yanazua maswali mengi......Na yanamuweka Waziri kana kwamba anafuja pesa za walipa kodi!Viongozi mbalimbali wamemtembelea Prof.Hospitalini na kujua sababu za Waziri kuendelea kuwepo huko,mbona hawakusema kuwa Prof.Anang'ang'ania kubaki India?Waziri Mponda tumia busara na utoe kauli sahihi na yenye ukweli kwa nini Prof.Mwandosya hajarudi nyumbani.
 
lowasa "aimega" ccm

wafuasi wake wajiandaa kuhamia chadema

mkuu nngu007 naomba ukurasa wa ndani wa hii habari au hata contents tu, mmiliki wa "dira" ni nani??
Mmiliki wa Dira ni Msama wa matamasha ya Injili na mhariri wake mkuu ni kanjanja Charles mulinda aliyewahi kuandika kwenye gazeti hilohilo eti Mwandosya ameandika barua ya kujiuzulu na ikakanushwa vikali na serikali pamoja na prof mwenyewe! Haya ngoja tusikilizie
 
Anaogopa wabaya wake wanamsubiri Airport...

He's a College Professor... let him work in India for now Until CCM is out of Power 2015
 
Kintiku,
Hapa nakubaliana na wewe 100%. Waziri alikuwa na sababu gani za kuzungumzia hili suala hadharani? Kuwa discharged haina maana kwamba mgonjwa asafiri mara moja kurudi Tanzania. Ni kwamba amemaliza matibabu. Lakini itategemeana na jinsi mgonjwa anavyojisikia. Kwa nini Waziri asimpigie mwenzake simu kupata taarifa ya kinachojiri?

Vyanzo vingine vya habari si reliable sana. nakumbuka Dira lilipoandika kuwa Mwandosya kaandika barua ya kujiuzulu tulichangia humu jamvini hadi wengine wakaambiana maneno yasiyofaa, kumbe ulikuwa uzushi maana taarifa hizo zilikanushwa. Sasa ni Charles Mulinda tena anaanza kutushughulisha na wengine kumlaumu Dr. Mponda, pengine si kweli! tuwe carefully na vyanzo vya habari.
 
Hata kama karuhusiwa si anaweza kuwa na ED ya siku kadhaa. Lazima aje azitumie huku?
Labda tu tuulize gharama za kukaa huko ni kodi zetu?
 
Upuuzi mwingine wa waziri wa afya....je, anajua kama waziri ana likizo au ameamua kutumia siku za mapumziko alizopewa na daktari kupumzika hukohuko??
Hivi jk alitoa wapi hawa vilaza hawa?
 
Waziri atoe taarifa zaidi ama afafanue vizuri, wao ndo walikuwa na mawasiliano na huko alikokuwa anatibiwa sasa anamuuliza nani!! Atuambie kilichotokea asitake kutufanya tuamini kwamba hataki kurudi, kumbe kuna sababu ya msingi kabisa!
 
Haya ni maneno ya Dr. Mponda au waziri wa JMT!! Kama ni ya waziri anayeitwa Dr. Mponda basi nchi inaenda kwa mgongo.
 
Waziri wa afya Dr Mponda amesema anashangazwa na prof Mwandosya kukataa kurudi Tanzania na huku alishapata discharge ktk hospital aliyokuwa akitibiwa India!

Je ni nini haswa Mwandosya ana choogopa kurudi home?

Gharama za hotel nani analipa kwa sasa?

Kama kweli hayo uliyotoa ni maneno nukuliwa kutoka kwa waziri wa afya, Basi serikali ya kikwete haina waziri wa AFYA ukizingatia anakiri hajui sababu ya kwa nini harudi nchini, anatupa maswali mengi sana kwa kukurupuka na majibu ya hovyo yasiyo na hata chembe ya kiutafiti. kwa lugha ya kwetu nigethubutu kumwita "MSHIRIKINA"
 
Back
Top Bottom