DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,674
Jamani mbona tumekimbilia kuamishia lawama kwa Pro Mwandosya baada ya kutafiuta chanzo cha tatizo linalomzuia kuludi nyumbani jamani?
Jamni tuwe na utu wana JF,kwa kuwa great thinker daima uwa na utu,hakuna great think aliyetokea ndani ya dunia hii kuwa na roho mbaya na chafu.Hivyo sitegemei ujiite great thinker harafu uwe na roho ya kwanini au korosho basi wewe sio.
Tuvae viatu vya Mzee huyo jamani,aalienda kama mgonjwa na sasa,uenda kapata aueni na kama taarifa hiyo ni kwali basi sie wana JF tujiuulize kulikoni tena nini?
Sio kumwagia lawama ho mara kodi yetu,wakati kaumia akiwa anawatumika nyie nyie.Hakika mnajua JF ni jukwaa ambalo linasaidia japokuwa sio chombo cha chenye mamlaka ila kupitia yanayojili humu majibu na matokeo upatikana.
Tutafute sababu kwanini hataki kuludi nyumbani?