Kulikoni Bombardier yetu inazunguka zaidi ya saa uwanja wa ndege

Lakini kilichoulizwa hapo ni very technical na si jambo la kawaida na ushahidi umewekwa tena toka database ya tower
Kwa wazoefu wa kupanda ndege hili si jambo la kawaida na mtoa mada ameuliza tu
Database ya Tower ikwapi?Ulikuwa unamaanisha "Control Tower?"....Hapo hakuna database ya tower,hiyo ni Applications kwenye "Playstore" na "App Store" ambayo unaweza kuipakuwa na ikawa inakupa muonekano wa ndege ktk anga la eneo fulani.

Jamani mambo mengine ni ya kawaida sana ktk usafiri wa anga..hii ni technical affair,hiyo ni "Test Flight" ya "Touch and Go" ambapo hutumika kwa ajili ya ama ndege imetoka matengenezo au kwa ajili ya Training ya marubani.Hizi ni ndege mpya ambazo zitaendeshwa na marubani wa Kitanzania.Wanatakiwa wapate training za hapa na pale,kinachofanyika hapo ni training kwa marubani wa Kitanzania kwa msaada wa wale wa Canada,hii ni kusema baada ya muda kadhaa wawe mahiri.

Yaani wabongo hamna dogo,wasipokuwepo marubani wa kitanzania maneno,wakifanya mazoezi wawe mahiri ni maneno,sasa watu wafanyaje?Hii "Test Flight" na "Training ya Touch and Go" ipo dunia nzima.Hata Precision hufanya kwa marubani wake,hata Fastjet na pia zile ndege ndogo za Terminal One.
 
Huenda wale madereva/Pilot wa kizungu waliozileta wanafanya handing over kwa madereva wa kiswahili
Hilo ndiyo jibu,lazima wafanye training....ile iliyokuwepo ni DHC 8,hizi mpya ni DHC Q400 kwahiyo lazima wafanye training....na hiyo ni kwa ndege zote,kutoka aina moja ya ndege kwenda nyingine lazima upate mafunzo.....
 
nasikia taa moja ya engine imegoma kuzima
 
Hilo ndiyo jibu,lazima wafanye training....ile iliyokuwepo ni DHC 8,hizi mpya ni DHC Q400 kwahiyo lazima wafanye training....na hiyo ni kwa ndege zote,kutoka aina moja ya ndege kwenda nyingine lazima upate mafunzo.....
Mkuu muhomakilo jr upo vizuri,jibu lako ni sahihi moja kwa moja.Ndiyo maana na "avatar" yako ina dude la hatari,naona tu injini hapo.Bila shaka wewe ni mdau wa usafiri wa anga
 
Database ya Tower ikwapi?Ulikuwa unamaanisha "Control Tower?"....Hapo hakuna database ya tower,hiyo ni Applications kwenye "Playstore" na "App Store" ambayo unaweza kuipakuwa na ikawa inakupa muonekano wa ndege ktk anga la eneo fulani.

Jamani mambo mengine ni ya kawaida sana ktk usafiri wa anga..hii ni technical affair,hiyo ni "Test Flight" ya "Touch and Go" ambapo hutumika kwa ajili ya ama ndege imetoka matengenezo au kwa ajili ya Training ya marubani.Hizi ni ndege mpya ambazo zitaendeshwa na marubani wa Kitanzania.Wanatakiwa wapate training za hapa na pale,kinachofanyika hapo ni training kwa marubani wa Kitanzania kwa msaada wa wale wa Canada,hii ni kusema baada ya muda kadhaa wawe mahiri.

Yaani wabongo hamna dogo,wasipokuwepo marubani wa kitanzania maneno,wakifanya mazoezi wawe mahiri ni maneno,sasa watu wafanyaje?Hii "Test Flight" na "Training ya Touch and Go" ipo dunia nzima.Hata Precision hufanya kwa marubani wake,hata Fastjet na pia zile ndege ndogo za Terminal One.
Asante sana kwa ufafanuzi mimi sio mtaalamu sana anga hizo lakini nilidhani hizi test flights zilishafanyika huko zilikotengenezwa na hata marubani wetu walienda huko kwa ajili ya mafunzo na utaalam zaidi
Kama bado tuko kwenye test flights hata baada ya kuzinduliwa na kufanyiwa water cannon basi kazi tunayo
 
Ni kweli naona hata jinsi ulivyoandika sasa unaonyesha zaidi kuwa hauna "uelewa" mkubwa kwa hili.Test Flight si kwamba ni kujaribu ndege,Marubani wetu walikwenda,ambao watakuja kuwafundisha wengine hapa hapa nyumbani.Isingekuwa rahisi kuwapeleka wengi sbb ya ghalama.Wale walioenda na wakapata ujuzi kwa kushirikiana na wale Wacanada wachache ambao bado wapo,Wanahamisha ujuzi kwa wengine ambao hawakwenda.

Ni kama kumpeleka mtoto mmoja shule,ili akirudi aje ahamishe ujuzi kwa wengine ambao hawakwenda ili kupunguza ghalama
 
Asante kwa kunielewesha zaidi nimepata kitu hapa nitawaelimisha na wengine pia shukrani tena
 
wakati mwingine unajiuliza hizi komenti zote zinatoka kwa watanzania ama watanzania waliooshwa fikra zao na wazungu kuwa wao (watanzania hawa waliooshwa fikra) si lolote katika kujithamini na kujiamini.
 
Leo Asubuhi Majira Ya Saa 06:16 Naiona Bombadier Angani Sijui Hata Ina Haraka Ya Nini Badala Ya Kwenda Mikoani Kubeba Watu Inahangaika Dar

Juzi Professor Maghembe Anajisibu Tumeiomba Government Bombadier Ikitoka Kigoma Ipite Katavi Kuchukua Watalii Haa!!
Ndege Hii Basi Ilitakiwa Huu Muda Inaozurura Angani Ipakie Watu Bure

Jpm Anasema Watu Wafurahi Wafanye Business Zao
 
Haki ya nani kuna watu mnaweza hata kuhujumu hizi ndege zianguke ili tu muweze kujifurahisha kisiasa. Hata sijui tumefikaje kwenye uhasama huu na ukosefu wa uzalendo kwenye nchi ambayo miaka michache tu huko nyuma ilikuwa mfano wa kuigwa kwa umoja wake kutokana na juhudi kali za Mwl. Nyerere. Inasikitisha!

mkulu ndie anaewagawa watu na hii chuki yeye ndio muasisi.......... km huamin fatilia matendo yake
 
Back
Top Bottom