Kulikoni Bombardier yetu inazunguka zaidi ya saa uwanja wa ndege

shirika limeshindwa kabla halijaanza, ushauri bunge ipitishe sheria wafanyakazi wote wa serikali iwe lazima kupanda hizi ndege
wakienda wapi wakati hata semina na makongamano sijui warsha mkuu amesitisha, hapa ndio pale ukijifanya mjuaji sana una aibika.. unabana mpaka mlo wako mwenyewe ukifikir unamkomoa jirani, acha mapanga boi yazunguke angani kufukuza ndege waharibifu tu.
 
wakienda wapi wakati hata semina na makongamano sijui warsha mkuu amesitisha, hapa ndio pale ukijifanya mjuaji sana una aibika.. unabana mpaka mlo wako mwenyewe ukifikir unamkomoa jirani, acha mapanga boi yazunguke angani kufukuza ndege waharibifu tu.

duh hatar
 
Kama taifa, Kenya will ALWAYS be ahead of us, watanzania wanachukia vitu vyao na wanavbea mabaya!
Wakenya ni patriotic when it comes to issues of their national.
Wanaoua nchi hii ni watanzania wenyewe, tumejawa ubinafsi na majungu toka ngazi ya familia hadi huko juu. Usitegemee hili taifa kupiga hatua kimaendeleo. Siasa zomechukua uhalisia wa maisha, hatuna patriotism tena, kila kilicho chetu tunakiponda, tunasifia vya wenzetu.

Kwa unafiki, majungu na kukosa uzalendo, hata aje nani hatufiki popote coz atapigwa majungu, atasalitiwa. Natamani sana kuona CDM ikishika hatamu ya kuongoza nchi, CCM watahujumu serikali kama wanavyofanya CDM sasa hivi.
 
Yni mijitu minafki sna, ina comments vitu ambvyo hawavijui na unakuta jitu halijui chochote khusu aviation industry na anapayuka tuu
Kuna nchi fulani niliwahi kumsikia jamaa akisema, "watanzania usiwape mda wa kuongea, wana kipaji kikubwa sana kwenye kuongea, bahati mbaya sana lugha nyingi za kigeni wengi hawaziwezi"...

Tunaongea sana, tunaropoka hata vitu tusivyojua, ignorance ipo sana kwa watanzania..inasikitisha!!!
 
Lakini kilichoulizwa hapo ni very technical na si jambo la kawaida na ushahidi umewekwa tena toka database ya tower
Kwa wazoefu wa kupanda ndege hili si jambo la kawaida na mtoa mada ameuliza tu
"Database ya tower", thank you Lord...have mercy on your people!!
 
Back
Top Bottom