The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Well at times inawezekana though inakuwa kama vile ni probability ila ukiidumbukiza kule jf doctor uunaweza kupata majibu sahihi zaidi
Your Days.com - Home - Free Pregnancy and Ovulation Information For Women soma hapa na ujiandikishe kuwa na account nilijaribu kucheza na kalenda kama walivyoonyesha na maelezo yao. vile vile kupima damu ya mamaa na kujua siku ngapi tangu kupevuka yai hadi kuona siku zake. mzunguko wake ni siku ngapi kwa mwezi tukajaza infomation zote zilizotakiwa kwenye hiyo kalenda nikapanga na mamaa tupate dume na tulipata dume tukapanga tupate wa kike na tukapata wa kike vile vile tunaitumia kupanga uzazi. thx kwa hii website kwani najisikia kuwa ninamuelewa mamaa na mzunguko wake kwa ujumla