Kulenga jinsia ya mtoto/ mimba.

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,234
883
Wakuu wote waume kwa wake humu ndani nimekuwa nikisikia tetesi ati kuna uwezo wa kuotea jinsia ya mtoto unayemtaka kwa kulenga tarehe fulani:A S-baby:! najua kuna wazoefu humu maana natakakufanya majamboz na tayari nnao 2 dumes sasa nataka baby gyal 1! hivi ni ya kweli haya ya tarehe nianze zoezi hilo!???:peep::A S-baby:
 
kweli na mimi hii habari huwa naickia sikia, imeekaje kwa wanaoujua undani wake?
Tusaidieni
 
Wakuu wote waume kwa wake humu ndani nimekuwa nikisikia tetesi ati kuna uwezo wa kuotea jinsia ya mtoto unayemtaka kwa kulenga tarehe fulani:A S-baby:! najua kuna wazoefu humu maana natakakufanya majamboz na tayari nnao 2 dumes sasa nataka baby gyal 1! hivi ni ya kweli haya ya tarehe nianze zoezi hilo!???:peep::A S-baby:

Binafsi siamini hii kitu katika real life ingawa wataalamu wanasema inawezekana. Probability ni kiasi gani ...mie sijui.

Soma zaidi hapa: Baby planning time - Gender selection

A baby is conceived when the sperm (produced by the father) fertilises the egg (produced by the mother). The egg carries X chromosome while the sperm can carry X or Y chromosome. If X-carrying sperm fertilises the egg, a baby girl will be conceived and if a Y-carrying sperm fertilises the egg, a baby boy will be conceived.
There is a popular but unfounded theory that you can try to influence the sex of your baby by creating situations that favour the X-carrying sperm over the Y-carrying sperm or vice versa. It has been found that X and Y sperm behave differently. Y (male) sperm swim faster, but are smaller and do not live as long as the larger, slower but more long-lasting X (female) sperm.
To produce a girl, make love frequently up to a few days before ovulation
For a boy make love on or just after ovulation but not too often.
Click here to increase the likelihood of choosing the gender of your baby.
 
Thanx Preta and DC! inaonekana kuwa probability ni ndogo! mmmhhhh!:bowl::bowl: Mtihani huu!!
 
Thanx Preta and DC! inaonekana kuwa probability ni ndogo! mmmhhhh!:bowl::bowl: Mtihani huu!!

Hayo mambo ya kucheza na kalenda ni magumu sana ingawa kuna watu wameshawahi kufanikiwa. Hata birth control ya kalenda ni ngumu mno na huwezi kuitumia kama mtu hauko responsible.

Mtu ukitoka huko na mapombe yako eti utaka kuchagua jinsia ya mtoto...u can forget about that..

Hata hivyo usikate tamaa.
 
Hayo mambo ya kucheza na kalenda ni magumu sana ingawa kuna watu wameshawahi kufanikiwa. Hata birth control ya kalenda ni ngumu mno na huwezi kuitumia kama mtu hauko responsible.

Mtu ukotoka huko na mapombe yako eti utaka kuchagua jinsia ya mtoto...u can forget about that..

Hata hivyo usikate tamaa.

Lol!! i totally agree with you! in this i will leave it to mama chanja to take care! as we do not want to get caught again in the tallies of boys aishh! it is getting complicated! haya mambo ya tarehe ukijiingiza kingi to yanakuwa yaleyalee!:nono::nono::nono::nono:
 
Hii mambo ni probability sana,ingawa nina shuhuda za watu kadhaa waliofuata chart ya Institute of science in Peking inayozingatia kalenda ya kawaida na umri wa wahusika na wamefanikiwa!:smile-big:
 
Mmh!! m intrigued! :smile: mtego!!

Mbona una wasi wasi sana ndugu yangu? Wewe chukua hizi nondo na nyingine walizotoa wadau halafu ukagawane na mama. Mkiona zinawafaa mnaweza kujaribu. Kama haiwafai hiyo njia basi ipige chini mumuombe Mungu. Hata hivyo huna sababu ya kupata msongo wa mawazo kwa kitu kidogo kama jinsia ya mtoto. Kuna watu hata huyo mtoto hawana...!
 
Wakuu wote waume kwa wake humu ndani nimekuwa nikisikia tetesi ati kuna uwezo wa kuotea jinsia ya mtoto unayemtaka kwa kulenga tarehe fulani:A S-baby:! najua kuna wazoefu humu maana natakakufanya majamboz na tayari nnao 2 dumes sasa nataka baby gyal 1! hivi ni ya kweli haya ya tarehe nianze zoezi hilo!???:peep::A S-baby:

Mada kama hii ilijadiliwa sana hapa. GONGA HAPA HALAFU UPITIE POST ZOTE KWENYE HII THREAD
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom