Kulazimisha mpenzi kubadili namba na kuachana na marafiki wa zamani

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanaume/wanawake kuwalazimisha wapenzi wao hasa wanapokuwa wanaelekea kuoana ama baada ya kuoana kubadilisha namba zao za simu au kuachana na marafiki wote waliokuwa nao kabla.

Hii tunaionaje jamani, mi imeshanitokea bhana ka gf kangu ka zamani kameolewa kamelazimishwa kubadili namba............... is this kutokujiamini au nini?
 
Ni vizuri kubadili no maana umeanza maisha mapya na simu ni source ya many evils kwenye mahusiano
 
Ni vizuri kubadili no maana umeanza maisha mapya na simu ni source ya many evils kwenye mahusiano
Nakubaliana na wewe kwa upande mmoja lakini kubadili namba kunaweza kubadili tabia ya mtu? Kwasababu naamini kabisa kwamba kama mimi nataka kuongea na watu fulani ntaongea nao tu hata kama utanilazimisha kubadili namba, ofcoz they will be the first to know that i have changed the number and now am using this number
 
mmh ushamba na kutojiamin 2.
kama ipo ipo 2 na kama haipo hata wakihama mkoa haupo
cha msing ni kumuomba 2 mungu bs.
 
nakubaliana na wewe kwa upande mmoja lakini kubadili namba kunaweza kubadili tabia ya mtu? Kwasababu naamini kabisa kwamba kama mimi nataka kuongea na watu fulani ntaongea nao tu hata kama utanilazimisha kubadili namba, ofcoz they will be the first to know that i have changed the number and now am using this number
unaweza kuwa wewe utaki tena paparapapara hao wa nje wakawa wanakutafuta na kuleta usumbufu
 
hakuna la maana hapo
jiamini tuu na hata akibadilisha no yake hakuna litakalomzuia kusave no za watu wake na awapigie kwa muda wake
Jiamini tuu na hata akibaki nayo kama ni wa kukucheat atafanya hivyo tuu
mbona wengine kwenye hayo mambo hawatumii hata simu zao wanatumia za vibandani
 
unaweza kuwa wewe utaki tena paparapapara hao wa nje wakawa wanakutafuta na kuleta usumbufu
Anhaa kwahiyo cha msingi hapa ni mtu kuwa na nia ya dhati kubadilisha mwenyewe na sio kufanya hivyo kwa shinikizo la upande wa pili
 
Anhaa kwahiyo cha msingi hapa ni mtu kuwa na nia ya dhati kubadilisha mwenyewe na sio kufanya hivyo kwa shinikizo la upande wa pili
ndio mfano mimi kuna watu siwataki kabisa na wananisumbua tena mtu anakupigia simu usiku wa manane yaani any time akifeel as ana no yako anapiga nikiwa na mtu ni lazima nibadilishe hii no maana sidhani kama atanielewa
 
nadhani ni kutokupanuka kimawazo kwani wanaume hulazimisha wanawake wabadili simu wanawake wengine huenda mbali hata sehemu aliyokuwa anaishi mwanaume anamlzimisha ahame kama amepanga kwa imani pale kulikuwa na watu (wanawake wengine) wanakuja .. hii ni dhana tu lakini haina uhalisia sana japo wengine wanadai kuepuka na usumbufu fulani
 
Kinachotakiwa ni mtu mwenyewe kubadili mwenendo na tabia ulizokuanazo awali coz unaanza maisha mapya.,kubadili namba za simu siyo ishu sana, wakiamua hata kuipata hiyo mpya wataipata tu..
 
ndio mfano mimi kuna watu siwataki kabisa na wananisumbua tena mtu anakupigia simu usiku wa manane yaani any time akifeel as ana no yako anapiga nikiwa na mtu ni lazima nibadilishe hii no maana sidhani kama atanielewa
Okay, mi nadhani kuna kitu kingine cha kutazama hapa, wanaume mara nyingi tunakuwa nagging kwenye sehemu ambazo tunaona kuna uwezekano wa kupata kitu. Kwahiyo kuna uwezekano wa nyie wanawake kuwa mnachangia kusumbuliwa kwasababu mnakuwa hamko straight kwa hawa watu, kwa mfano unamwambia mtu sikutaki na sitaki unipigie simu, na hata akipiga hupokei believe me baada ya mara mbili tatu atakuwa hakusumbui tena
 
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanaume/wanawake kuwalazimisha wapenzi wao hasa wanapokuwa wanaelekea kuoana ama baada ya kuoana kubadilisha namba zao za simu au kuachana na marafiki wote waliokuwa nao kabla.

Hii tunaionaje jamani, mi imeshanitokea bhana ka gf kangu ka zamani kameolewa kamelazimishwa kubadili namba............... is this kutokujiamini au nini?

Ni nzuri kwa mahusiano yenu mapya mliyo yaanza.
 
Haina maana kushurutishana ktk hili,
Km wote mmeamua kubadili nos ni sawa km kuna mwingine haoni umuhimu haipaswi kulazimishana,
Kwa yule anayeona anahitaji kubadili basi naye apewe uhuru wa kufanya hivyo coz 7bu anaijia yy,
Nadhan uwazi ndio unahitajika kwa marafiki na jamaa kuwajukisha umeanza maisha mapya na wajue umeoa /umeolewa na heshima ichukue nafasi yake basi.
 
  • Thanks
Reactions: BPM
Mahusiano mapya hayamaanishi utumwa na kama mahusiano yanamfanya mmoja kuwa mtumwa basi ndio maana mengi yanakuwa hayadumu
 
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanaume/wanawake kuwalazimisha wapenzi wao hasa wanapokuwa wanaelekea kuoana ama baada ya kuoana kubadilisha namba zao za simu au kuachana na marafiki wote waliokuwa nao kabla.

Hii tunaionaje jamani, mi imeshanitokea bhana ka gf kangu ka zamani kameolewa kamelazimishwa kubadili namba............... is this kutokujiamini au nini?

We unaona ugumu gani kubadili? Si unaanza maisha mapya?
 
Wengine mkianza tu mahusiano anakwambia ubadili namba afadhari ata huyo anayesubiri muoane...mweeeeh
 
okay, mi nadhani kuna kitu kingine cha kutazama hapa, wanaume mara nyingi tunakuwa nagging kwenye sehemu ambazo tunaona kuna uwezekano wa kupata kitu. Kwahiyo kuna uwezekano wa nyie wanawake kuwa mnachangia kusumbuliwa kwasababu mnakuwa hamko straight kwa hawa watu, kwa mfano unamwambia mtu sikutaki na sitaki unipigie simu, na hata akipiga hupokei believe me baada ya mara mbili tatu atakuwa hakusumbui tena
i hate them
 
We unaona ugumu gani kubadili? Si unaanza maisha mapya?
Kuanza maisha mapya ni sawa na mi nakubaliana na wewe kabisa but je kubadili hiyo namba kutakubadilisha wewe na tabia yako? Kama ndiyo je huwezi kubadilika na kuwa mtu mpya bila kubadili namba?
 
Back
Top Bottom