Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

Status
Not open for further replies.
Dah! Nilipoona title nikafikiri Lowasa amelala msibani, yaani amekesha usiku msibani. Kumbe thread yenyewe upuuzi mtupu.
 
kwenye kampeni anatumiaga muda gani kuhutubia!? hawezi kukesha hata kidogo! kulala NEC kwenyewe kashindwa
 
Ukiandika bila kutumia akili inaoneka we ni mtu wa namna gani? We matusi yako hayatabadili picha. najua wenye akili wanazitumia vizuri kwa maendeleo yao na taifa.

Wengi wanasema amelala, hata kama ni kwa kupitiwa.

Ukitoa mlinzi wa Lowassa aliyeko nyuma yake na mbatia, wengine wote unao waona ni nani unaona ameangalia kama siyo wote wameinamisha vichwa.kwa hiyo msiba mzima watu wote wali lala? why not reason yourself? mpaka utegemee wengine eti wanasema kalala japo kwa kupitiwa!!!

Narudia tena hacha kutumia makalio kama nyuki kuonyesha hisia zako za kuchukia Lowassa. tumia akili. unataka uandikiwe vizuri wakati wewe umekuja kwa shari!!! nimekuita mbwa kwa sababu Mungu alimuumba mwanadamu kwa akili ya juu kuliko wanyama.

mwanadam ana uwezo wa ku-reason kabla ya mahamuzi, ila mnyama hana uwezo wa ku-reason hata kidogo!! mbwa akikuangalia tu, then wewe ukainamisha mkono wako kwenye aridhi, utaona anakimbia bila ku-reason umeinama ukachukua siraha gani, jiwe, mti au mchanga, yeye atakimbia tu bila kujua umeinama labda kujikuna tu!! Naona wewe uko kwenye group hilo!!

Lowassa kama amesinzia sawa, lakini kwanini usijiulize, hawa wengine nao kwanini wasinzie? pia kwanini usijiulize huyu alie simama mbele yao alisimama kufanya nini? uenda anawaongoza kufanya sala, au labda alisimama mbele yao kuwaamsha wote na Lowassa watoke kwenye usingizi? You must be analytical and critical thinker before you come up with your critics!!
 
Ni katika hali isiyo ya kawaida kwa mtu anayepigiwa chapua kuwa kiongozi wa taifa kulala kwenye msiba. Haya ni kawaida sana kwa watu wavivu wa kufikiri pamoja na wasiotaka kujishughulisha. Tumeona mifano ya watu kama hao katika bunge lilipita kwa Mh. Komba na Wasira.

Tunajua nini madhara ya kuwa na viongozi wa namna hii.

Leo Mh. Edward N. Lowassa mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, anyeungwa mkono na UKAWA amelala katika msiba wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Emmanuel Makaidi.

Madai ya Watanzania wengi kuwa Lowassa hawezi kuongoza nchi hii imejionyesha wazi. Tunatakiwa tufanye maamuzi sahihi sasa, maana tumeona anavyoweza kuliangamiza taifa letu kwa kukosa umakini katika mambo muhimu.

Cha muhimu wapigakura wanatakiwa kufanya maamuzi sahihi na bora kabisa ili kupata kiongozi wa taifa letu pendwa.

View attachment 301038

Picha kwa hisani ya BBC
Mkuu, sio kwamba hawa watu wanasali kweli, mbona wote wameinama. Ina maana wote wamelala ?
 
Je anayemfuatia Mbatia naye amelala? uliye lala ni wewe usiyeweza kufanya hata uchambuzi mdogo wa habari picha
 
Ni katika hali isiyo ya kawaida kwa mtu anayepigiwa chapua kuwa kiongozi wa taifa kulala kwenye msiba. Haya ni kawaida sana kwa watu wavivu wa kufikiri pamoja na wasiotaka kujishughulisha. Tumeona mifano ya watu kama hao katika bunge lilipita kwa Mh. Komba na Wasira.

Tunajua nini madhara ya kuwa na viongozi wa namna hii.

Leo Mh. Edward N. Lowassa mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, anyeungwa mkono na UKAWA amelala katika msiba wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Emmanuel Makaidi.

Madai ya Watanzania wengi kuwa Lowassa hawezi kuongoza nchi hii imejionyesha wazi. Tunatakiwa tufanye maamuzi sahihi sasa, maana tumeona anavyoweza kuliangamiza taifa letu kwa kukosa umakini katika mambo muhimu.

Cha muhimu wapigakura wanatakiwa kufanya maamuzi sahihi na bora kabisa ili kupata kiongozi wa taifa letu pendwa.

View attachment 301038

Picha kwa hisani ya BBC
Msibani huwa tunasinzia sembuse kulala!?.
 
Umezoea kuona watu wakisali kwa ile staili nyingine siyo?
............ Kura yangu na watoto wangu watano tunampa Lowassa.............
 
Daaaaa,

Mkuu unachekesha umekosa cha kupost au?? Kwa Taarifa yako kwenye sala si wote huwa wanavumba macho kuna baadhi unaweza kuwakuta wakipepesa macho na wengine wamefunga inategemea na makuzi yako katika sala ila tunapaswa wote kufumba macho wakati wa sala...
 
---- wewe, kusali ni kulala? Akili yenu ccm kama yule mgombea wenu anayeinua kinyeo juu anaita push up
 
Alikuwa anasali na ndio maana Mungu amechagua alikomboe Taifa letu. Hao waliongoza miaka 10 bila kulala ili wapakie Twiga kwenye ndege ndio wanaofaa?
 
Dah! Lowasa kina anakoenda anaharibu. Sijui ni mtu wa aina gani huyu. Analala mpaka msibani!

Mbona hulalamiki kila akihutubia anaanguka!?Unampenda vile kakupa uDC!?kuanguka kwake unaona ni uchovu !??unaemchukia hatakiwi kuchoka!?
Namchagua hivyo hivyo j2 hii mapemaaaaaaa! Na familia yangu acha kabisaaaaa!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom