Kukuweka mkono kwenye nyeti

Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?
Aiseeee!........... How old are Vai?
 
Asee!!!!
Ushawahi kutongozwa na watu wangapi wa aina hii Vaislay?

Hommie mi nimeangalia apo HASA WABABA nikashtuka, hili tatizo ni kubwa kuliko tunavolifikiria aisee....
 
Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?
Mimi ni mwanaume,sijawahi ona hii!!
 
Hiii mpya..

Dahhh
nilivyoona kichwa cha thread
Nilidhani ni ile unamuona mwanaume
Barabarani atatembea kiupande upande
Halafu anavuta dudu lake chini hivi.. halafu
Ndo sasa ataanza kutembea vema..
Kuna mwingine alivuta dudu kanisani..
Nini tu jamani.. kuvuta vuta ..??

Haiumii?? Maana ya onekana mnatumia energy dahhhhhh poleni

AD you made my day. nimecheka kishenzi. mbona hicho ni kitu cha kawaida tu. kwani ukipaki gari vibaya utaiacha hivyohivyo na kuondoka zako? si itabidi urudi upaki vizuri....huwa ndivyo hivyo. hakuna kuumia na wala huvigusi hivyo uvidhaniavyo! kwani kwenye kipwinto unagusa nini zaidi ya nguo....?
 
AD you made my day. nimecheka kishenzi. mbona hicho ni kitu cha kawaida tu. kwani ukipaki gari vibaya utaiacha hivyohivyo na kuondoka zako? si itabidi urudi upaki vizuri....huwa ndivyo hivyo. hakuna kuumia na wala huvigusi hivyo uvidhaniavyo! kwenye kwenye kipwinto unagusa nini zaidi ya nguo....?

Dahhh
Nami nimefurahi kusikia umecheka..
Muhimu zaidi asante kwa ufafanuzi ..
ok ntaacha kuwashangaa sasa wakiwa wanafanya hivyo...
asante
 
Hiii mpya..

Dahhh
nilivyoona kichwa cha thread
Nilidhani ni ile unamuona mwanaume
Barabarani atatembea kiupande upande
Halafu anavuta dudu lake chini hivi.. halafu
Ndo sasa ataanza kutembea vema..
Kuna mwingine alivuta dudu kanisani..
Nini tu jamani.. kuvuta vuta ..??

Haiumii?? Maana ya onekana mnatumia energy dahhhhhh poleni

Hapo kwenye nyekundu!! mavazi yenu yanachangia sana..
 
Hommie mi nimeangalia apo HASA WABABA nikashtuka, hili tatizo ni kubwa kuliko tunavolifikiria aisee....

Hahaaaa...nimejaribu kukumbuka ni lini nilitumia staili hiyo ila sijafanikiwa....
 
Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?
ukiona hivyo ujue amesimamisha mnara..
 
Hiii mpya..Dahhh nilivyoona kichwa cha threadNilidhani ni ile unamuona mwanaume Barabarani atatembea kiupande upandeHalafu anavuta dudu lake chini hivi.. halafuNdo sasa ataanza kutembea vema..Kuna mwingine alivuta dudu kanisani..Nini tu jamani.. kuvuta vuta ..??Haiumii?? Maana ya onekana mnatumia energy dahhhhhh poleni
hasa wanaume vibonge wanapenda kuvuta dudu chini.
 
Hiii mpya..

Dahhh
nilivyoona kichwa cha thread
Nilidhani ni ile unamuona mwanaume
Barabarani atatembea kiupande upande
Halafu anavuta dudu lake chini hivi.. halafu
Ndo sasa ataanza kutembea vema..
Kuna mwingine alivuta dudu kanisani..
Nini tu jamani.. kuvuta vuta ..??

Haiumii?? Maana ya onekana mnatumia energy dahhhhhh poleni

Huu uchunguzi wako! Loh! Tatizo ni jinsi umekuwa unaharibu sara zako maana kumbe kanisani huku una imajini maumbile ya kiume.

Kweli hujawahi kuyavuta kwa niaba yake?
 
Ni kweli kabsaaaa,sio mmoja wala wawili tena wasomi na akili zao timamu. Maana yake nashndwa kuelewa kabsaa mpaka leo nina idadi kubwa 2.
 
Hapa naona kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakali, wanazuga tu; leo tumesema mambo ambayo hawapendi kuyasikia. Kwanza nikikumbuka utoto wangu, naweza kuconclude kuwa asilimia kubwa ya vijana wana vi element vya ubakaji. Yani nishakoswa koswa kubakwa na makaka wa rafiki zangu kibao nikiwa under 15. Sema miaka hiyo ya nyuma kulikuwa hakuna sheria ya ubakaji. Yanijitu linataka kukuvuta tu bila maelewano. Haya bisheni na hilo. Am talking of 90s sijuhi kama vijana wa leo wana hiyo tabia ukizingatia kuna kwenda jela 30 years.

Ni kweli kabsaaaa,sio mmoja wala wawili tena wasomi na akili zao timamu. Maana yake nashndwa kuelewa kabsaa mpaka leo nina idadi kubwa 2.
 
Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?

hii ni kali na mpya wala sijawahi kuisikia b4
 
Back
Top Bottom