Kukuweka mkono kwenye nyeti

Inaonesha siku hz hakuna mapenzi ya dhati. Anakudhihirishia kuwa ana shida ni kitu kimoja tu! Hana haja na wewe. hy inaitwa "TOUCH AND GO"
 
Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?
Hiyo ndio lugha ya kiutu uzima, wakati mwingine maneno sio muhimu! Tujifunze kuongea kwa vitendo teo. ACTIONS SPEAK MORE LOUD THAN WORDS!
 
Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?
Heeee wapi huko, labda anaangalia na mtu na mtu ukijirahisi anaweza fanyia visa kama hivi lol
 
Mkuu wewe unakaa wapi?,
Duh hii kitu sijawahi kuona mtu anafanya, labda ni etiquette za ajabu huko kwenu unapoishi.
In short sio ustaarabu kabisa

Hata mimi nimeshangaa sana, labda ndio style mpya ya kutongoza lakini Mhhhhh! umekutana na dame barabarani hakujui humjui lakini umemzimikia na unaannza kumtongoza ghafla tu unamshika mkono wake na kupeleka kwenye nyeti zako!!!! Duh! inahitaji moyo sana hii....hata dada unayemfahamu ni kazi mno kufanya kitu kama hiki sembuse yule usiyemjua....hapa ustaarabu ni sifuri kabisa.... ukipita mtaani watakuwa wanakunyooshea vidole, "jamani yule kaka tongoza yake ni kiboko, akikupiga maneno mawili matatu basi anakushika mkono na kuupeleka kwenye dudu yake."

Sijui huu ni ustaarabu wa wapi!?
 
Hiyo staili wala si mpya na wala msimshangae mleta mada mimi ilishawahi kunikuta nikiwa A level na ni way back more than 10 years a go. Kuna kaka tulikuwa shule moja boarding school (mixture) sasa yale mambo ya kupaty, tunacheza mziki nashangaa anachukua mkono wangu na kuupeleka kwenye suruali yake na alikuwa keshalowa. Ni kama alikuwa ananambia ana hali mbaya; wakati we were not lovers but just friends. Sikumwambia mtu pale shule maana ningemzibia wakati sikuwa na mpango nae though wadada wengi walikuwa wanamzimikia. Kaka mwenyewe ni gentleman na wala si muhoga wa kusema anaogopa kutongoza lakini nashangaa yalimsibu yapi siku hiyo. Sijawahi kumuona toka tumalize shule ila huwa naongea nae akiwa online as if nothing happened. Hakuna maisha yenye story to tell kama maisha ya boarding.
 
Hiii mpya..Dahhh nilivyoona kichwa cha threadNilidhani ni ile unamuona mwanaume Barabarani atatembea kiupande upandeHalafu anavuta dudu lake chini hivi.. halafuNdo sasa ataanza kutembea vema..Kuna mwingine alivuta dudu kanisani..Nini tu jamani.. kuvuta vuta ..??Haiumii?? Maana ya onekana mnatumia energy dahhhhhh poleni
hahaha! Most of men wanapenda kujivutavuta may be inakuwa imetoka nje ya boxer wanataka kuireplace pahala pake. Ama? Lolz
 
Hiyo staili wala si mpya na wala msimshangae mleta mada mimi ilishawahi kunikuta nikiwa A level na ni way back more than 10 years a go. Kuna kaka tulikuwa shule moja boarding school (mixture) sasa yale mambo ya kupaty, tunacheza mziki nashangaa anachukua mkono wangu na kuupeleka kwenye suruali yake na alikuwa keshalowa. Ni kama alikuwa ananambia ana hali mbaya; wakati we were not lovers but just friends. Sikumwambia mtu pale shule maana ningemzibia wakati sikuwa na mpango nae though wadada wengi walikuwa wanamzimikia. Kaka mwenyewe ni gentleman na wala si muhoga wa kusema anaogopa kutongoza lakini nashangaa yalimsibu yapi siku hiyo. Sijawahi kumuona toka tumalize shule ila huwa naongea nae akiwa online as if nothing happened. Hakuna maisha yenye story to tell kama maisha ya boarding.

umetunga hadithi ya fasta.
mimi nina marafiki wa kila aina na wanagongoza kwa njia zote lakini hii kiboko
hawa watakuwa wazee haweza kuwa kijana bana, vijana wengi hawana ujasiri huo hasa kwa mtu wanaye mfagilia
 
unajiweka weka vipi mpaka anakufanyia hayo....hivi kuna ulazima wa kusalimiana na mtu kwa kupeana mkono jamani...
 
Wewe ni mwanaume huwezi jua wanaume wenzio wanatongoza vipi na huwezi kuwasemea unless....
Na usinambie nimetunga nimeamua kutoa ushuhuda wangu kwa kuwa huyo mtoa mada amesema na inawezekana wanawake wengine wana similar experience. Hivi vitu ni kati ya wawili so here is where you can say whether it is exceptional case or ni mambo ambayo yapo.

umetunga hadithi ya fasta.
mimi nina marafiki wa kila aina na wanagongoza kwa njia zote lakini hii kiboko
hawa watakuwa wazee haweza kuwa kijana bana, vijana wengi hawana ujasiri huo hasa kwa mtu wanaye mfagilia
 
kweli ata mm huwa najiuliza huwa wanamaanisha nn?lakini ni ushenzi tu wa tabia kuonyesha kwamba akishika nyeti zake ndio kakupenda sana alafu mm naona watu wa namna iyo hawajui kutongoza ndio mana.
 
Wewe ni mwanaume huwezi jua wanaume wenzio wanatongoza vipi na huwezi kuwasemea unless....
Na usinambie nimetunga nimeamua kutoa ushuhuda wangu kwa kuwa huyo mtoa mada amesema na inawezekana wanawake wengine wana similar experience. Hivi vitu ni kati ya wawili so here is where you can say whether it is exceptional case or ni mambo ambayo yapo.
basi na inamaana na wale wanamuziki wanaopenda kuimba uku wameshika nyeti inaamana huwa wanatongoza ni tabia ya m2 kujiendekeza2
 
umetunga hadithi ya fasta.
mimi nina marafiki wa kila aina na wanagongoza kwa njia zote lakini hii kiboko
hawa watakuwa wazee haweza kuwa kijana bana, vijana wengi hawana ujasiri huo hasa kwa mtu wanaye mfagilia
ww inaonekana ndio zako
 
Back
Top Bottom