Hahaha. . . hiyo hata mimi naikubali.
Unabembeleza alafu ndo unakosoa ili isimuume sana . . . sawa na mtoto unavyoanza kumbeleza kwa maneno matamu kabla ya kumkanya kwa kosa alilofanya.
hahahaaaa Gee 'darling'....(hebu soma huko hii post ukiskip.....hooo)
kabisa mkuu..
Ila dunia hii sasa wengi hupenda kurembwa na mapambo ya makaburi .
Nikimaanisha wengi hupenda kusifiwa hata kama wanaelewa kabisa si
ya haki. hupenda kufurahishwa nafsi pasipo..
Chukulia hapa JF..
kuna baadhi wanapenda kusifiwa sana
ukimkosoa tu basi . Je wadhani haao watakuwa hawapati
faraja hizo za kusifiwa nje ya JF? kwa hiyo wanakuja hapa kutafuta
umaarufu fulani? na kuwasifia kunawatia moyo na kuwaongezea hizo faraja..?
Embu wakue bwana. . . . utatreat vipi mtu mzima kama mtoto bwana.
Ukiwa unatoa opinion yako kama vile unavyofikiri mara nyingi huwezi popular kwenye sehemu kama hizi
Watu wanapenda kama wakikosolewa basi kwanza kuwe na paragraph nzima ya utangulizi ambayo itampembejea kwa kutumia "darling" kidogo na "dear" nyingi kabla ya kumweleza alichokosea.
Sasa kama hiyo protocol huiwezi ndio unaona watu wanachukia.
Hahahaha. . . .hicho ndicho wanachotaka sicho nilicho tayari kutoa.
Nyeusi ni nyeusi hata nikiipamba vipi siwezi iita blue.
duuhh
Hivi bado tu hujazoea pole dadake
Hapa kuna watu ukiwasifia mtakuwa marafiki mpaka siku
ukimkosoa tena. hoto: copy na ku paste hii utaihitaji baadaye :bolt:
Sio hivyo .... inakuwa hivi
"Gee dear, siku zote nakukubali sana kwenye misimamo yako, kiasi cha kuwa ukiandika wewe huwa sina cha kuchangia zaidi. Itabidi uje unifundishe na mie wapi ulipopata ustadi wa kujieleza hivi!
Lakini dear, mimi naona protocol lazima ifuatwe, kwa sababu unajua duniani tunaishi kwa hisia tu. Kwa nini umkere mwengine
Btw, tukitoka hapa pita home kwangu nimekuandalia zawadi yako"
Hahaha lazima uwe na paragraph ya kufungia kwa kubembeleza tena, wewe itifaki hujaiweza
kwa lipi sasa...kwani kama wewe mwenyewe ndo uliingia mkenge na kulivaa jimwanaume gumegume si wewe mweyewe..!? sio utusingizie wanaume woote..wengine tunaheshima zetu Smile..afu hata wanawake wa tabia hizi wapo...yaani wabishi ka nini ..!! kila anachosema yeye ndo anataka kiwe hivyo bila kujali mwanaume anatumia nguvu gani kutafuta....nyie ndo mtutake radhi
Ila sasa kuna wengine wao ni ubishi tu...na chuki binafsi...yaani yeye anataka kukosoa tu kila uchaokifanya...hawezi kukuunga mkono kwa lolote hata liwe jema kiasi gani...yeye ni kukosoa koso koso koso tu..bila hata kujali anakosoa kwa nini...hawa nao wananikeraga sana...kosoa kwa kutoa maoni yako kwamba iweje sasa badala ya hivi...sio unakosoa tu afu ukimuuliza wewe ungefanyaje hana la kujibu...yaani ilimradi na yeye kakosoa...! kha!!??
Kukoselewa - Kukosolewahehehee ujue JF ni reflection tosha tu ya maisha nje ya hapa
sasa humu pia wapo 'wanafiki' wanaosifia hata 'pasipostahili'
cha muhimu bana wewe kuwa wewe tu (usiwe kichwa ngumu hutaki kukoselewa lakini). usiandike kitu kumrodhisha/kuridhisha watu (na utaweza basi kama si kuishia kua mnafiki)
Lizzy Li,
Unamjua Regia Mtema? Kama unamjua kipindi kile cha uchaguzi uliona alivyokuwa anakosolewa? Kama uliona hebu nambie kama ile mikosoo yote ilikuwa ni ya haki.
Na wangapi humu huwa mnajikosoa wenyewe na kukiri katika nafsi zenu kuwa kweli mlikosea? Manake ni rahisi sana kuona kuwa watu wengine ni wagumu kukubali au kupokea kukosolewa lakini wewe mwenyewe ukawa hujioni.
Na wale watu (groupies) ambao wameshajijengea dhana potofu kuwa fulani mwafulani hatoagi pumba na akiandika kitu hata kama kakosea wao wana orgasm tu huwa wananiboa. Yuuccck!
Lizzy Li,
Unamjua Regia Mtema? Kama unamjua kipindi kile cha uchaguzi uliona alivyokuwa anakosolewa? Kama uliona hebu nambie kama ile mikosoo yote ilikuwa ni ya haki.
Na wangapi humu huwa mnajikosoa wenyewe na kukiri katika nafsi zenu kuwa kweli mlikosea? Manake ni rahisi sana kuona kuwa watu wengine ni wagumu kukubali au kupokea kukosolewa lakini wewe mwenyewe ukawa hujioni.
Na wale watu (groupies) ambao wameshajijengea dhana potofu kuwa fulani mwafulani hatoagi pumba na akiandika kitu hata kama kakosea wao wana orgasm tu huwa wananiboa. Yuuccck!
Sikuona aisee ila naweza hisi kabisa kwamba sio wote waliomkosoa kwa haki.
Na kuhusu wakosoaji kukubali nao kukosolewa I can't speak for everyone ila wachache nnaowajua vizuri najua kwamba wanatoa na kupokea bila matatizo.
Wewe acha kujifanya ulisomea typing, kwani hujaelewa nilichomaanisa.....lolKukoselewa - Kukosolewa
Bht tayari nimeisha kukosoa ole wako uje kui-quote hii post......:eyebrows::eyebrows:
triple N ,
hapo kwenye red umenichekesha sana.
Mimi nakubaliana na wewe moja kwa moja. Lakini kuishi hivyo lazima uwe na ngozi ya mamba. Uwe hujali huyo mtu alomkosoa akichukia.