HardMartin
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 304
- 107
tutajie umri na jinsia yako
miaka ishirin na k2 kama nlvyosema mimi ni +ME
tutajie umri na jinsia yako
Mkuu wala huna tatizo kabisa,Tatizo pekee ni kwamba unakunywa maji mengi sana hata kama huna kiu hapo lazima utakojoa mara kwa mara wala sio ugonjwa mkuu,punguza kunywa maji mengi kupita kiasi
Ndugu hilo ctatizo bal ni maji unayokunya ni mengi naunajua maji yanasharabiwa tumbon na kama unasikia kiu mara kwa mara ctahid kuchanganya maji na chumvi au sukar ilkufanya usharabiwaji kuwa kwa kiasi kidogo.
miaka ishirin na k2 kama nlvyosema mimi ni +ME
Mbona unaogopa kutaja umri wako?Sasa ukienda hospitali utasema ishirni na kitu?Doze na ushauri vinaendana na umri wa mtu jamani!
nafikil wanajamvi mko salama na mnaendelea na ujenzi wa taifa letu, Kama Kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba karibu ni mwez mzima sasa nmekùwa nikisumbuliwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara inafikia kiac ndan ya saa moja nakuwa nmekwenda kukojoa zaid ya mara mbili na Mkojo unakuwa zaid ya nusu lita kila ninapokwenda kukojoa PIA kwa siku huwa nakunywa maji lita 3 hadi 4 ,KIKUBWA NINACHOWAOMBA WAKUU NI KUTAKA KUFAHAMU KAMA HILI N TATIZO GAN NA PIA USHAUR WENU JUU YA HILI Tatizo na ninatanguliza shukran kwa Msaada wenu. +ME
Mkuu, tafadhari usizidishe zaidi ya lita 3 na nusu ndani ya masaa 24, kiasi cha maji unachopaswa unywe kinategemea na uzito wako, kimsingi ukishakunywa maji unatakiwa ukae nayo kwa muda usiopungua masaa 2, tofauti na hapo yatakuletea matatizo zaidi.
Kwa maelezo yote kuhusu namna ya kuyatumia maji kama tiba na namna ya kufanya ili isikutokee unakojoakojoa kila mara tafadhari gonga HAPA.
HardMartin kuna thread uliomba msaada wa dawa ya UTI huwa nayo ni sababu
Cheki sukari kwanza ujiridhishe maana hiyo ni dalilli mojawapo.
Huna tatizo ni kawaida sana endapo unakunywa maji mengi kama ulivyosema.