Ngeleja alisema Bungeni umeme unaozalishwa ni zaidi ya matumizi ya nchi, kama kuna mgao ni matatizo ya kiufundi. Cha ajabu, nimesikia huko Musoma kuna mgao kuanzia saa 2 mpaka 12, pia, kuna mitaa ya Sala Sala hawajaona umeme siku ya tano sasa. KITISHO: je tumwamini nani??
Hivi walivyosema tumedhubutu, tumeweza na tunasonga mbele si walikuwa wakiamaanisha na TANESCO nayo imethubutu, imeweza na inasonga mbele au siyo jamani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.