Kukatika umeme bungeni, ni hatari. Chochote chaweza fanyika kwa wanaowindwa kudhuriwa.

Dah! Mkuu umenitajia makole umenikumbusha mbali sana. Nakumbuka nilikuwa napaki mkoko wangu kama bubu pale CBE. Aisee!
hahahahaaaa, ulikua unakula vichwa tu au sio? usiku unasogeza mkoko club la aziz kula vichwa kama kawaida
 
Back
Top Bottom