Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
jembe gani ambalo lina mpini pekee?wewe na Dira wote waduanzi..jembe haliezi fanya ujinga huo,yeye ndo CCM wakimfukuza mgombea urais atatoka wapi!aU CCJ
jembe gani ambalo lina mpini pekee?wewe na Dira wote waduanzi..jembe haliezi fanya ujinga huo,yeye ndo CCM wakimfukuza mgombea urais atatoka wapi!aU CCJ
mkuu unamtetea mbaya alivyofisadi mlienda pasu2pasu niniUnajua hili Gazetti la Dira sijui kama mhariri wake huwa anahangaisha ubongo wake kutafuta habari,wanakaa kwenye korido wanatunga habari,Lowwassa hawezi kuikimbia ccm,ni chama chake na nakuhakikishia anakubalika kuliko unavyojua,acheni umbea nyie Dira,Lowwassa ni jembe na mnamuogopa ndo mana kutwa mnamwandika,tuachieni Mzee wetu Nyambafu zenu.
Kwani akijivua mwenyewe au akitolewa na chama chake kuna tofauti gani?Waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne na mbunge wa Monduli, Mh Edward Lowasa ameamua kuwaachia ccm yenyewe iamua hatima yake ndani ya chama hicho na wakati huo huo ameandaa watu wa kulia, kuzimia, kuandamana na wakumpokea kishujaa endapo ataondolewa kwenye nyadhifa kwenye chama hicho!
Source: Dira ya mtanzania
munda utasema.wewe na dira wote waduanzi..jembe haliezi fanya ujinga huo,yeye ndo ccm wakimfukuza mgombea urais atatoka wapi!au ccj