Mstaafu Kikwete umesahau dhana ya KUJIVUA GAMBA kwenye utawala wako leo unamwambia mwenzako anavumilia upuuzi

saidoo25

JF-Expert Member
Jul 4, 2022
602
1,407
Rais Mstaafu Kikwete anamwambia Rais Samia kwamba kwenye utawala wake hakukubali upuuzi Lakini watanzania wote bado tunakumbuka nchi alivyoitumbukiza kwenye matatizo mengi kama uendeshaji duni wa chama na Serikali mpaka ikafikia hatua hatua ya KUJIVUA GAMBA ili kuinusuru CCM.

Nchi iliingia
mikataba mingi mibovu kama Richmond, IPTL, Bandari ya Bagamoyo na Escrow mbayo ilisababisha hasara kubwa kwa nchi yetu lakini pia tunakumbuka bandari ya Dar es Salaam JK alivyoikabidhi kwa GSM hadi kusababisha mfarakano mkubwa na wafanyabiashara hadi watu kumwagiwa tindikali..

Leo Mzee Kikwete amesahau yote hayo kwa kiburi cha anatamka hadharani kwamba jkwenye utawala wake hakukubali upuuzi huo.
 
Labda hatujamwelewa, anazungumzia upuuzi gani. May be, kutoweka watu wake serikalini kwake ni upuuzi
 
Amesahau aliachia magazeti kama mwanahalisi yakawa yanamnanga lowasa kila siku. Kila likitoka lipo na Lowasa na mpaka wao wakaogopa kumpitisha Lowasa.
 
Rais Mstaafu Kikwete anamwambia Rais Samia kwamba kwenye utawala wake hakukubali upuuzi Lakini watanzania wote bado tunakumbuka nchi alivyoitumbukiza kwenye matatizo mengi kama uendeshaji duni wa chama na Serikali mpaka ikafikia hatua hatua ya KUJIVUA GAMBA ili kuinusuru CCM.

Nchi iliingia
mikataba mingi mibovu kama Richmond, IPTL, Bandari ya Bagamoyo na Escrow mbayo ilisababisha hasara kubwa kwa nchi yetu lakini pia tunakumbuka bandari ya Dar es Salaam JK alivyoikabidhi kwa GSM hadi kusababisha mfarakano mkubwa na wafanyabiashara hadi watu kumwagiwa tindikali..

Leo Mzee Kikwete amesahau yote hayo kwa kiburi cha anatamka hadharani kwamba jkwenye utawala wake hakukubali upuuzi huo.
661CC121-DB6A-483F-8ECF-0A879A386340.png
 
Back
Top Bottom