Kujivua gamba: Lowassa abadili mbinu

Unajua hili Gazetti la Dira sijui kama mhariri wake huwa anahangaisha ubongo wake kutafuta habari,wanakaa kwenye korido wanatunga habari,Lowwassa hawezi kuikimbia ccm,ni chama chake na nakuhakikishia anakubalika kuliko unavyojua,acheni umbea nyie Dira,Lowwassa ni jembe na mnamuogopa ndo mana kutwa mnamwandika,tuachieni Mzee wetu Nyambafu zenu.
mkuu unamtetea mbaya alivyofisadi mlienda pasu2pasu nini
 
Waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne na mbunge wa Monduli, Mh Edward Lowasa ameamua kuwaachia ccm yenyewe iamua hatima yake ndani ya chama hicho na wakati huo huo ameandaa watu wa kulia, kuzimia, kuandamana na wakumpokea kishujaa endapo ataondolewa kwenye nyadhifa kwenye chama hicho!
Source: Dira ya mtanzania
Kwani akijivua mwenyewe au akitolewa na chama chake kuna tofauti gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom