Kujianika kwa Wanawake Nyerere Square!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Bado sijapata jibu kuhusu hii kitu. Kwa muda sasa kumekuwa na hii kitu mjini dodoma. Nyakati za jioni kunakuwa na wakina dada wengi 'wanajianika' eneo la Nyerere Square mijni dodoma.

Nilichogundua, wengi wa hao ni wanafunzi wa vyuo vikuu vya hapa mjini. Ukizingatia kwa sasa vyuo vingi vinafundisha hadi wakati wa usiku, sasa sielewi, muda mwingi wanaokaa eneo hili lengo lao hasa ni lipi na je ni wakati gani wanajisomea?
 
Simple_just ask them.
 
Pasonoishuzi!!!!!!!
 
Asante kwa taarifa! and where is Kaizer.........................aisee mtoa maada welcome to Idodomya! Dah sijapita siku nyingi hapo ingawa ni mita chache tu kutoka shambani kwangu.....................nashukuru kwa taarifa!
 
ngoja nipite huko leo nione hivyo wanajianika.
 
Bado sijapata jibu kuhusu hii kitu. Kwa muda sasa kumekuwa na hii kitu mjini dodoma. Nyakati za jioni kunakuwa na wakina dada wengi 'wanajianika' eneo la Nyerere Square mijni dodoma.

Nilichogundua, wengi wa hao ni wanafunzi wa vyuo vikuu vya hapa mjini. Ukizingatia kwa sasa vyuo vingi vinafundisha hadi wakati wa usiku, sasa sielewi, muda mwingi wanaokaa eneo hili lengo lao hasa ni lipi na je ni wakati gani wanajisomea?

Dodoma hakuna mgao wa umeme?
 
Mkuu wewe hujasoma? Masomo hasa ya elimu ya juu siyo madarasani tu, wakati mwingine unahitaji kufanya research katika maeneo kama hayo.
 
Back
Top Bottom