Kuitwa na sekretariet ya ajira

ndisinzowa

Member
Aug 18, 2010
86
14
Hi Jf Member

Nilifanya interview mwaka jana sekretariet ya ajira mwaka jana kwa bahati mbaya sikuitwa kazini. Wamenipigia simu na kuniuliza kama nipo tayari kupangiwa kituo nikawajibu nipo tayari wakakata simu. Sasa sijaelewa hapo nafanyaje baada ya hapo au niendelee kuvuta subira.

Ushauri Wadau naitaji.
 
Endelea kusubiri utatumiwa barua au watakupigia tena Simu kukupatia taarifa kituo ulichopangiwa. Siku hizi Secretariat wanamfumo Wa kuhifadhi majina kwenye database kwa waliofaulu usahili. Kunajamaa yangu alipigiwa simu mwaka jana na sasa yuko kazini.
 
Hi Jf Member,nilifanya interview mwaka jana sekretariet ya ajira mwaka jana kwa bahati mbaya sikuitwa kazini.wamenipigia simu na kuniuliza kama nipo tayari kupangiwa kituo nikawajibu nipo tayari wakakata simu.Sasa sijaelewa hapo nafanyaje baada ya hapo au niendelee kuvuta subira.Ushauri Wadau naitaji..Kitaa Kugumu

Bahati imekuangukia. Kazi unayo tayari, yupo jamaa ninayemfahamu ilimtokea hivyo.

Ushauri: Epuka kugegendana, utakumbana na nuksi bahati ikapepea!

Ila kama siku uliyopigiwa simu uligegenda, mhusika ana bahati, usimwache!
 
waulize waliokupigia
 
Bora ungekaa kimya tu

hata wewe ungekaa kimya tu

we differ very much

mleta mada kapigiwa simu, na tumeajiara hawatumii private number, unaruhusiwa kupiga kujua zaidi... ile ni public institution sio private

bora ungekaa kimya tu
 
Haya bhana...sasa hayo maelezo ya ziada si ungeyaweka mwanzoni ili akuelewe kuliko kudai kwamba angeuliza kwenye hayo maongezi yale ilhali simu ilikatwa na hakujua kama ingekuwa possible to call back! Anyway ngoja nipige kimya basi.
 
Sorry kama umekwazika...

je wewe utapenda kuajiri mtu anayekimbilia mitandaoni badala ya ku call back?
 
Bahati imekuangukia. Kazi unayo tayari, yupo jamaa ninayemfahamu ilimtokea hivyo.

Ushauri: Epuka kugegendana, utakumbana na nuksi bahati ikapepea!

Ila kama siku uliyopigiwa simu uligegenda, mhusika ana bahati, usimwache!
hahaha hii kiboko ,sina tabia hzo mkuu
 
Back
Top Bottom