Wakuu nilifanya interview mwezi wa saba mwishoni (Academic posts) pale UDOM. Ila naona kimya mpaka leo, je wameshaita kazini?
Nani ana taarifa juu ya hili anisaidie.
Watu wamesha ripoti long time
We ulidondokea pua ndo maana unaona kimyaa
Wakuu nilifanya interview mwezi wa saba mwishoni (Academic posts) pale UDOM. Ila naona kimya mpaka leo, je wameshaita kazini? Nani ana taarifa juu ya hili anisaidie.
<br />Kama ni hivyo safi sana Mfwalamanyambi, naona week inaweza isiishe tutaitwa UDOM. Ingawa nilisikia week ijayo wanaanza interview (Non Academic posts) sijui lipi ni la ukweli sasa
<br />
<br />
cjakusoma kwani non academic post washaita???
Ndiyo kuitwa kwenye interviewKuitwa interview siyo? Mimi pia nilisikia kutoka source ya uhakika next week wataanza kuita.So get prepared!
<br />Kuitwa interview siyo? Mimi pia nilisikia kutoka source ya uhakika next week wataanza kuita.So get prepared!