Kuitwa kazini TRA

Tripple D

Senior Member
Sep 3, 2013
187
61
Habari zenu wanaJF!

Nnaomba mnijuze jamani mna taarifa kuhusu TRA wale tuliofanya oral interview kule Tumaini kwa nafasi za TA, APO na PA manake kuna mtu kaniambia kuwa kaambiwa kuna baadhi wameanza kuitwa sa sijajua Kama kweli au la
 
Sidhani kama ni kweli nachofikiri ni Job fever ndio inayoprevail kwenye brain za candidates hasa ukizingatia candidate amepiga hatua kutoka kwenye ile nyomi ya watu pale Diamond (Universal set) hadi kwenye oral interview (event set) kurasini ni lazima hii ndoto mara kwa mara ijirudie kwenye brain ya candidates husika

Anyway najua things will be out soon na wengi tu watapata kwahiyo subira muhimu.
 
kwel me mwenyew mara nying naota nimeitwa yaan..!!
TRA watuonee huruma sasa.
 
Wanasema subira yavuta kheri….!! Endeleeni tuu kusubiri. Watakua wana waandalia posho zenu saa hizi
 
tra wizi mtupu, hivi kweli unatangaza kazi unakaa mwaka mzimza hujaita watu kama si usanii ni nini?
 
kuna ndugu yangu aliitwa wiki iliyopita alhamisi kwa ajili ya interview ya pili sasa sijui kama alifanya
 
kuna ndugu yangu aliitwa wiki iliyopita alhamisi kwa ajili ya interview ya pili sasa sijui kama alifanya
interview ya pili ilishafanyika mwaka jana,hiyo intvw ya post zipi?wameongeza idadi ya nafasi za kazi au?Tunachanganyana sasa.
 
interview ya pili ilishafanyika mwaka jana,hiyo intvw ya post zipi?wameongeza idadi ya nafasi za kazi au?Tunachanganyana sasa.

Kambiso hizo ni post nyingne za procument ndo walioitwa kwenye interview ya pili siyo zetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom