Kuishi usukumani raha sana,wamama watu wazima wananisalimia wakiwa wamepiga magoti kama dakika tatu hivi

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,461
37,214
Mimi sio mzee wala sio kijana,
Nimetoka pwani kuja kutafuta maisha huku
Wamama watu wazima wakikutana na mimi ni ng'wangaruka bhabha huku wamepiga magoti,hawataamka hapo mpaka nimalize salam niondoke,salam ikiwa ndefu hata dakika tatu anyanyuki mpaka mmalize.
Hawa ndio wanawake sasa,
Sio mwanamkea anakusalimia kama anakimbizwa
 
Wewe muongo kabisa wanashuka tu. Gdgo, kama ishara ya heshima, nyie waswahili hamna heshima ndo maana mama na mtoto wanatukanana matusi hadharani.
 
Goti moja liko ardhini lingine limekunja nyuzi 90,raha sana mkuu,siachi kuvaa kaunda suti
 
Muongo mukubwa wewe, goti halifiki chini kabisa, af afikishi hata dakika moja, heshimu utamaduni wa watu, acha ushamba unaibisha watu wa pwani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom