Kuipinga na kuikataa CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa JK Nyerere 100%

shykwanza

Senior Member
Nov 28, 2011
156
30
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.

Mtanzania wachunguze mara mbili wanaokushawishi uichukie CCM kwani 100% wamerukwa na akili

CCM imesomesha wazazi wako, imekusomesha wewe na bado inaendelea kukusomeshea watoto wako na wajukuu; Daima CCM kitabaki kuwa chama Tawala Tanzania
mckubali kuburuzwa Watanzania na Wanyang'anyi Chadema
 
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.

CCM ni Baba na Mama yako
Is true
 
Usimtumie baba wa taifa kama kinga ya maovu yenu sasa nina uwakika angekuwepo leo hii angewawajibisha viongoz wote wahujumu uchumi.
 
Baba wa Taifa alikuwa na nia nzuri ila aliangushwa na wale aliowapa nafasi za kumsaidia. Kwa hiyo CCM haina tatizo, ila wenye tatizo ni nyie viongozi wake. Hata nyie mnafahamu hivyo, ndio maana kwa kuliona hilo mmeanzisha dhana ya kujivua ghamba, endelea kujivua, ingawa ni vigumu kuondoa sumu, lakini itakuwepo kiasi ambacho sio cha kuua kama ilivyo sasa.
 
Too low for Great Thinkers kuchangia thread za kipuuzi kama hizi, best option ni kumpotezea tu mtu wa akili za aina hii kuliko kufanya unnecessary Arguments.
 
We ndio Juha wa kwanza!Mwalimu Nyerere mwenyewe kwa matamshi yake alipo ona chama kinataka kwenda sivyo ndivyo kwa kupandikiza mafisadi alisema kua c.c.m si mama yake,anaweza akarudisha kadi na akaachana nayo,walifyata mkia na kuondoa uozo wao mwalimu alioukemea
 
sijui nini kimeni2ma nishome hu utumbo! Hv una akili timamu we shykwanza?yani una2ona ss watz ni wajinga kama ww? Tuungane kuiuza nchi yetu na kulipa kodi ziliwe na wajinga wajinga wachache kwa kujidanganya tuiunge ccm mkono? ULAANIWE MILELE NA KIZAZI CHAKO!
 
Na wasi wasi na uelewa wako muanzisha mada, eti wa sema ccm ni mama ni baba yako?

Una kumbuka mwalimu aliwai kusema ccm siyo mama yake?
 
Una akili za matope kabisa!
Enzi za Mwalimu hapakuwa na walowezi wachimba madini - CCM wameyataifisha machimbo yote ya madini
Enzi za Mwalimu hapakuwa na Mafisadi - CCM sasahivi inamilikiwa na Mafisadi.
Enzi za Mwalimu hapakuwa na gape kubwa kati ya mwenye nacho na asiyenacho - CCM imesababisha gape kubwa sana kati ya Tajiri na Maskini.

Ukitaka kumwuenzi Mwalimu pinga utawala mbovu wa serikali ya CCM. Kumbuka Maneno ya Mwalimu wakati wa uhai wake, namnukuu "CCM SIYO MAMA YANGU WALA BABA YANGU, NAWEZA KUKIHAMA WAKATI WOWOTE"
na akasema kuwa hajaona chama mbadala wa ccm, sana sana labda CHADEMA.

Walowezi na wachimba madini wapo toka enzi za mkoloni na mwalimu
Propaganda za Chadema zimewapumbaza kuona CCM ina Mafisadi
Mwalimu Nyerere alikufa akiwa mwana CCM na atakumbukwa daima kama muasisi wa Taifa hili na Chama Tawala CCMKweli nimeamini wanachama, wapenzi na mashabiki wa chadema wamerukwa na akili
 
Tatizo ni kuruhusu simu zenye internet kutumika Mirembe au?? Huyo naona yupo Mirembe na hajapona! Unataka nishabikie mafisadi? Shame on you.....!
 
Jf Doctor njooni mwumtibu huyu Kiumbe kama ana akili timamu.
kweli CDM nimalimbukeni sana kila kitu kubisha tu ipo siku utabisha hata Mama na Baba yako sio wazazi wako kwa kuwa sio tu wafuasi wa chadema
 
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

CCM ni Baba na Mama yako

Samahani japo mie sio miongoni wa wanaopaka matope CCM, ila si mpenzi wa la mshabiki wao.
Tafadhali rekebisha phrasing ya sentensi yako kwamba hiki chama ndio kile alichokianzisha Nyerere, si kweli, kile chama kilikufa na azimio za Zanzibar. mara tu baada wao wenyewe kushika hatamu.
Mimi kama mtanzania kwa kumuenzi nyerere, nataka hiki chama kife, ili tuanzishe kingine kikiwa na sera za mwalimu wetu mpendwa.
Kwa taarifa yako wenye kupinga CCM wengi hawako JF, wako mtaani huko, kila siku wanatuma laana, na kwa uhakika zitawafikia hao wanaodhani kuwa ile rangi na picha na historia ndio kumuenzi nyerere. Kumuenzi nyerere ni kwa vitendo vya kupigania haki ya wanyonge.
wakulima na wafanyakazi.
angalia migomo ya wafanyakazi walimu na madaktari, ndio utajua jinsi chama cha CCm kinavyoenzi wafanyakazi.
Angalia wanavyorithishana uongozi, hata kwa watoto wao wasioelewa kuwa mtanzania nini kwani wamesomea nje, wamekulia nje.

Kama ni laana inawapata walio bado ndani na washabiki wa CCM,
Sijui wanajisikiaje wanavoiangalia ile bendera, wanavyoipeperusha huwa akilini mwao wanawaza nini??
Huwa nashangaa sana,
 
kweli CDM nimalimbukeni sana kila kitu kubisha tu ipo siku utabisha hata Mama na Baba yako sio wazazi wako kwa kuwa sio tu wafuasi wa chadema
Kweli hata mimi nakuunga mkono ni malimbukeni, maana kama wanashindwa kukupuuza basi wao ni wapuuzi zaidi.
 
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.

CCM ni Baba na Mama yako
Mkuu hapa umepotoka kabisa. Ngoja tukukumbushe kidogo labda unaweza ukarekebisha kauli yako.
Siku moja mwalimu alimuuliza simba wa vita mzee kawawa, namnukuu "Hivi Rashidi unaichukuliaje CCM yetu ya leo?"

Rashidi akamjibu nanukuu "mimi ccm kwangu ndio mama na baba hata iweje mimi nitabaki kuwa ccm". Mwalimu akacheka sana akamwambia Rashid wewe umenizidi kwa sababu mimi ccm si mama wala baba yangu, nikiona ccm imekosa dira naondoka.

Conclusion
Ccm ya leo imekosa dira, wanaohama na kukichukia leo hii wanamuenzi mwalimu kwa 100%. Kwa hiyo hizo kauli ulizosema hazina msingi hata kidogo. Ilihali mwalimu alishasema ccm sio mama wala baba yake anaweza kuhama kama chama kitakosa muelekeo!
 
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.

CCM ni Baba na Mama yako

shykwanza =aibu kwanza
 
Mtasema yote mwaka huu, lakini yote ni ya mfa maji. Nyerere mwenyewe enzi ya uhai wake alishawaambia: "ccm sio mama baba wala yangu", itakuwa vijana wa Kileo? Amini msiamini, kubali msikubali ila ukweli ni kuwa ccm iko kwenye "death bed" yake
 
Back
Top Bottom