Kuipinga na kuikataa CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa JK Nyerere 100%

Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.

Mtanzania wachunguze mara mbili wanaokushawishi uichukie CCM kwani 100% wamerukwa na akili

CCM imesomesha wazazi wako, imekusomesha wewe na bado inaendelea kukusomeshea watoto wako na wajukuu; Daima CCM kitabaki kuwa chama Tawala Tanzania
mckubali kuburuzwa Watanzania na Wanyang'anyi Chadema

Utakuwa si mzima wewe
 
nanukuu maneno ya nyerere " CCM SI MAMAYANGU YAKINISHINDA NAHAMIA CHADEMA" mwisho wa kunukuu.
 
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata. Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho. Mtanzania wachunguze mara mbili wanaokushawishi uichukie CCM kwani 100% wamerukwa na akili CCM imesomesha wazazi wako, imekusomesha wewe na bado inaendelea kukusomeshea watoto wako na wajukuu; Daima CCM kitabaki kuwa chama Tawala Tanzania mckubali kuburuzwa Watanzania na Wanyang'anyi Chadema
mbona nyie wenyewe ndo mlishaanza kumpinga mda mrefu mpaka BWM akaamua ampoteze kwenye raman ya dunia....sasa ss tunaopinga chama na yule aliyemuua nani anayempinga baba wa taifa kwa 100%
 
Tatizo wana Chadema mnakurupuka sana na kuamini kila kitu kinachosemwa na viongozi wenu hata kama ni pumba tupu, kwani leo hii Kiongozi yeyote wa Chadema akisimama na kusema Wanachedema wote mnapaswa kulawitiw............ ili chama kishinde chaguzi mtaunga mkono na kukubali kwa dhati tumieni akili acheni kukaririshwa na kufikirishwa na viongozi wenu
 
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.

Mtanzania wachunguze mara mbili wanaokushawishi uichukie CCM kwani 100% wamerukwa na akili

CCM imesomesha wazazi wako, imekusomesha wewe na bado inaendelea kukusomeshea watoto wako na wajukuu; Daima CCM kitabaki kuwa chama Tawala Tanzania
mckubali kuburuzwa Watanzania na Wanyang'anyi Chadema

Vp tetesi za CCM na viongozi wake kuhusika na kifo chake?,, Kama ni kweli JKN akifufuka atakuwa CCM?
Acha Pumba..
 
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.

Mtanzania wachunguze mara mbili wanaokushawishi uichukie CCM kwani 100% wamerukwa na akili

CCM imesomesha wazazi wako, imekusomesha wewe na bado inaendelea kukusomeshea watoto wako na wajukuu; Daima CCM kitabaki kuwa chama Tawala Tanzania
mckubali kuburuzwa Watanzania na Wanyang'anyi Chadema

sijui katokea shimoni? Hv wewe unaakili zenye akili kweli!!,wewe hamnazo na hata shule hauna na hata humu jf umesaidiwa kujisajili.Hv wewe sisi em imekufanyia nn cha maana au wewe ndo akina chuma ulete?Huna lolote.Watanzania wa leo hawadanganyiki,think critically ndo ulete hoja ya msingi na siyo uchafu kama huu unaotoa uvundo kwenye jamvi la wastaarabu ma great and critical thinkers.Ona mwenyewe usingojee simuliwa.
 
Kitendo cha Watanzania walio wachache hasa watumiaji wa JF kukipinga na kukipaka matope chama Tawala CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa mareheme Nyerere na Sera zake kwani ndio mwanzilishi wa chama cha mapinduzi. Hivyo vijana mnaokimbilia kukiponda na kukipaka matope chama cha mapinduzi mnatakiwa kuacha kufanya hivyo ili kujiepusha na laana mbalimbali ambazo zinaweza kuwapata.

Kuanzia sasa tujiunge pamoja kukiunga mkono chama cha watanzania wote CCM ili kiendelee kutawala Tanzania kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.

Mtanzania wachunguze mara mbili wanaokushawishi uichukie CCM kwani 100% wamerukwa na akili

CCM imesomesha wazazi wako, imekusomesha wewe na bado inaendelea kukusomeshea watoto wako na wajukuu; Daima CCM kitabaki kuwa chama Tawala Tanzania
mckubali kuburuzwa Watanzania na Wanyang'anyi Chadema

Excrement of the clan!

CCM kuanzishwa na Nyerere sio maana yake inabeba utakatifu wa kudumu. Wote tunaamini kuwa mwanzilishi wa kanisa ni Yesu, lkn sidhani kama unathubutu kusema kuwa ni yeye alitaka mapadri wa Anglikana wawe mashostito.

Kama wazazi wako walisoma CCM ikiwa madarakani basi haimaanishi kuwa umesoma kwa hela ya CCM. Hizo ni kodi zetu. Nyinyi ndio vichefuchefu mnaoamini kuwa wanaoiba madini yetu na kutujengea tushule twa msingi wanatusaidia. Mawazo ya kijinga kabisa, na kwa hakika haya ndio mawazo yanayoiweka CCM madarakani. Natamani kukutukana, ni vile tu BAN zipo macho
 
Tatizo wana Chadema mnakurupuka sana na kuamini kila kitu kinachosemwa na viongozi wenu hata kama ni pumba tupu, kwani leo hii Kiongozi yeyote wa Chadema akisimama na kusema Wanachedema wote mnapaswa kulawitiw............ ili chama kishinde chaguzi mtaunga mkono na kukubali kwa dhati tumieni akili acheni kukaririshwa na kufikirishwa na viongozi wenu

Kuichagua CCM na kuifanya bwana wa maisha yako ni mbaya zaidi ya "hapo kwenye red"

Nipe sentensi moja tu inayokanusha kuwa mimba yako haikupatikana kwa ubakaji
 
Tatizo lenu wana Chadema tena mliyo ifahamu Chadema kupitia JF cjui mmelawitiwa nani? mnabisha tu hata kwenye ukweli hebu fikiria Wazazi wako wamesomeshwa na CCM wewe na ndugu zako mmesomeshwa na CCM; Wazazi wako wanafanya kazi katika serikali ya ccm na wewe pia cjui unalalamika nini kama unapaona Tanzania si mahali salama pakuishi hamieni Somalia, siria, Iraq mtuache na Tanzania yetu na CCM yetu

We acha u****se kama wazazi wako wamesomeshwa na ccm ndo utung'ang'anize wote kuipenda! Nenda katibiwe mirembe best
 
Hizo fikra finyu kuliko mbegu ya haradali. Kuukumbatia ufisadi na mafisadi kifikra,maamuzi na hata kuwabeba migongoni NI KUMSALITI BABA WA TAIFA.HATA AKIFUFUKA LEO ATAJIUNGA CHADEMA VINGINEVYO ATAUGUA PRESHA+KISUKARI etc. Kwa sasa njia pekee ya kumuenzi Baba wa Taifa ni kujiunga chadema kupambana na mafisadi ambao wanarudisha nyuma vita dhidi ya ujinga,maradhi na umaskini.
 
Back
Top Bottom