Kuileta Madrid Bongo ni kituko

uzuri mimi ni 'mnazi mkubwa' wa man utd,na hayo machungu ninayo.but when it comes to professional capabilities za mawinga,nachelea kusema kwamba RIBBERY yupo juu.ribbery akienda premial anaweza kucheza kwasababu ana PHYSIC inayoruhusu,lakin ron akienda bundesliga SIDHANI KAMA ATAFURUKUTA.ile ligi ni ngumu kaka.kama unawafahamu kina lukas poldesky,ale ni mastaa kule wanacheza na benchi tu.

Mzee maoni yako ni mazuri. Ila nijuavyo ligi competitive ktk Yuropa ni UK Premiership. Kuanzia skills,nguvu na mpira wa kasi. Ukienda kwingine huwezi kukuta vitu kama hivi.
 
The question is:

Is Kaka worth all that monies? Personally I do not think so!

Yes I'm pro Zizu - at a time he landed at SB at a cost of £47m, he surely was worth that... But not Kaka!
As per records,

FOOTBALL'S MOST EXPENSIVE DEALS

£47m: Zinedine Zidane - Juventus to Real Madrid (2001)
£37m: Luis Figo - Barcelona to Real Madrid (2000)
£35.5m: Hernan Crespo - Parma to Lazio (2000)
£32.5m: Robinho - Real Madrid to Man City (2008)
£32m: Christian Vieri - Lazio to Inter Milan (1999)

That means, Kaká will become the most expensive player ever!?
 
Ila nijuavyo ligi competitive ktk Yuropa ni UK Premiership. .

ni kweli mkuu KWA UPANDE MMOJA WA LIGI!kwasababu hii ndo league ambayo majority ya wachezaji wanalipwa vizuri(with a minimum of 35,000 ka iki),ina ushindani WA KIMASLAHI,na kila mchezaji angependa kucheza huko

Kuanzia skills,nguvu na mpira wa kasi. Ukienda kwingine huwezi kukuta vitu kama hivi.
HILI HAPANA!jaribu kuangalia la-liga,au bundesliga UTAGUNDUA KITU FULANI.
 
HILI HAPANA!jaribu kuangalia la-liga,au bundesliga UTAGUNDUA KITU FULANI.

Anelka alipokuwa Madrid alisema mpira wakule unaboa kwa sababu wanacheza very slow, na ni kweli. Mpira wa Spain ukiboa unaboa kikweli kwa sababu hauna mashamsham. Kwa Bundesliga, nadhani hata French league imewapiga bao.
 
Kwa sasa Ronaldo,Ribery au Ibrahimovic ndio wanaweza kuvunja rekodi ya KAKA
AC Milan kazi ipo kaondoka Anceloti, then KAKA na Chelsea wanawawinda PATO & PIRLO
 
Not so fast mkuu, hatujasikia ya wengine bado, Rekodi yaweza vunjwa wakati wowote..lol

NOT UNTIL 'the galatico' will manage to convince manu 'off-loading' c.ronaldo,who is believed to be the most expensive player in the world ka sasa.

au akamfuate ribbery munchen!am telling you RIBBERY anaweza vunja hiyo rekord kama c.ronaldo hatauzwa.na zidane amesain hapo real madrid,which means RIBBERY WILL GO THERE.zidane alipoulizwa 'who would you go for?' aliweka wazi kwamba ribbery IS BETTER THAN BUYING RON
 
Kwa sasa Ronaldo,Ribery au Ibrahimovic ndio wanaweza kuvunja rekodi ya KAKA
AC Milan kazi ipo kaondoka Anceloti, then KAKA na Chelsea wanawawinda PATO & PIRLO

Chelsea kama wanamtaka Pirlo itabidi akina Essien na Michel waangalie ustaarabu mwingine. Ni wazi Pato atachomoka, wachezaji huwa wanaangalia kampani. Na hii panguapangua inaweza kuchelewesha vikombe pale Stanford Bridge, na kusababisha Man U ikachukua kikombe kwa mara ya nne!

Sijasikia makeke ya Liverpool bado.
 
Hata kama atasaini Real Madrid its well and good, ila hajasaini bado....so "GEOFF" uliyeweka hoja jamvini unaudanganya umma i.e "Heading" ya habari hii ina mislead...ni kuwa deal bado officially, ila ni vyombo vya habari tofauti tofauti especially vya ITALY na SPAIN ndio vyaonelenea deal huenda likakamilika. Aliyetangazwa kuhama Officially ni Gareth Bary to ManCity.

Kwa uhakika zaidi soma habari za hivi punde/breaking news..hata kocha wa AC Milan anamipango mbadala "IWAPO" Kaka ataondoka, na si kuwa tayari ameondoka: "http://goal.com/en/news/10/italy/2009/06/03/1302281/milan-to-sign-amauri-if-kaka-leaves-report"
 
unajiongopea!soma hapa The Sun | The Best for News, Sport, Showbiz, Celebrities & TV | The Sun| The Sun
 
Du natamani ningekuwa mchezaji wa football. Yaani ningejitahidi mpaka niwe International player. Kaka kaula. Ninampenda sana. Kijana wangu wa mwisho tulim-nickname KAKA. Naoana anapenda football, ninamtia moyo.
 
So far neither Real Madrid nor AC Milan have confirm about KAKA deal but Adriano Galliani has been invited by new Real Madrid president Florentino Perez but i think the deal will be complete this week
 
Anaenda kumaliza maisha yake kisoka, maana mchezaji akishaanza kuchuja anakimbilia Real Madrid. Hawana jipya wale!
 
GEOFF, ndicho hiki nilichokuwa namaanisha...bado deal halijasainiwa ni kuwa inavyoonekana mambo yawezekana ikawa hivyo...ila nilimaanisha usiwadanganye watu kwa ku-copy kiingereza cha mtandaoni ambacho nina hakika hukusoma between the lines...
sory,tuache malumbano watu wasije wakashindwa ku-note tofauti yangu na wewe..

So far neither Real Madrid nor AC Milan have confirm about KAKA deal but Adriano Galliani has been invited by new Real Madrid president Florentino Perez but i think the deal will be complete this week
 
Guys - This is still romours. The deal has not yet completed! Kwa mtaji huo hiyo heading siyo sahihi.

Mwabeja!
 
mjadala wa BURE, jamaa kaleta hoja, watu wanabadilishana mawazo pamoja na kutanuliana misuli ya timu zao za majuu, wakati dili bado halijagongwa muhuli, NOMA sana, huu ni uswahili uliyopitiliza, lakini tena, ndivyo walivyo waandishi wetu, pamoja na hayo tunashukuru utandawazi kwa kutuwezesha kupata habari chapchap...mwisho wa siku AC MILAN itabakia nyeupe, labda kina adebayo watakwenda ziba mapengo.
 
Back
Top Bottom