Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,195
- 3,012
uzuri mimi ni 'mnazi mkubwa' wa man utd,na hayo machungu ninayo.but when it comes to professional capabilities za mawinga,nachelea kusema kwamba RIBBERY yupo juu.ribbery akienda premial anaweza kucheza kwasababu ana PHYSIC inayoruhusu,lakin ron akienda bundesliga SIDHANI KAMA ATAFURUKUTA.ile ligi ni ngumu kaka.kama unawafahamu kina lukas poldesky,ale ni mastaa kule wanacheza na benchi tu.
Mzee maoni yako ni mazuri. Ila nijuavyo ligi competitive ktk Yuropa ni UK Premiership. Kuanzia skills,nguvu na mpira wa kasi. Ukienda kwingine huwezi kukuta vitu kama hivi.