Kuileta Madrid Bongo ni kituko

Tatizo hizi salamu ni mbaya kwa Chelsea tena Massa wangu!..Japo nampenda Messi ila hamna jinsi inabidi niwepo darajani kushabikia ze bluez..

Hahaha jamani nyie vipi hawa Madrido ni wabovu si walifungwa na Liverpool pia na sisi tukawachapa Liverpool? Kama mnakumbu kumbu Barca hajawahi ifunga Chelsea wakiwa 11...
 
Hii mechi naweza iangalia wapi online waheshimiwa? Si unajua tena wengine hatuna DSTV wala vioo vya kuweza kukamata masafa ya mbali. Kwa mwenye fununu, ni channel gani kwenye internet itaonesha/inaonesha mechi za La Liga na hasa huu mtanange wa leo atudokeze hapa jamvini!

click hapa >>>>>> Sport

nyingine >>>>>>>>http://www.iraqgoals.net/

michezo kibao unaangalia
ukifika hapo click soka alafu uchague mechi unayotaka
saa ingine hizo link inabidi uzitype na mkono mwenyewe
 
BJ, unanikumbusha tangazo la Cocacola. yani unajifanya ze Blues ila ndani ya tshirt umepiga uzi wa Baca.

Shadow!
We acha tu, muhimu kufanya mbinu kama hii tena kama ni wapinzani.

Mpira umeisha, nimefurahia volleyball ya leo...Barca juu, Messi juu!!
 
What a shame! Real Madrid imebakia historia. Itapendeza Casilas na Raul wakiacha kabisa
 
Hahaha jamani nyie vipi hawa Madrido ni wabovu si walifungwa na Liverpool pia na sisi tukawachapa Liverpool? Kama mnakumbu kumbu Barca hajawahi ifunga Chelsea wakiwa 11...

Masanilo, tulishakunja jamvi. 6-2. Mazoezi ya leo yalikuwa mazuri sana. BJ any comment? Masanilo, msalimie Guus. Mwambie, labda achezeshe formation ya 1-9-1
 
Barc noma hata Chels kazi wanayo ila sijafurahi yaani wanatuaibisha hivi hivi...
 
Masanilo, tulishakunja jamvi. 6-2. Mazoezi ya leo yalikuwa mazuri sana. BJ any comment? Masanilo, msalimie Guus. Mwambie, labda achezeshe formation ya 1-9-1

Salamu imetumwa to ze bluez, ni wao tu kuijibu hiyo J5.. Tusubiri hiyo mechi yao..Chao!!
 
Kaduguda, thx mkuu. wewe timu gani hapa?

Sorry mkuu nilikuwa busy kuangalia huu mtanange. Maana leo mtu mzima kafundishwa A, E, I, O, U na Z juu yake. Mkuu mi timu yangu hiyo iliyoshinda leo!

Pole kwa ndugu zangu wa R. Madrid. Ila msilete ushabiki wa Simba na Yanga mkatugeuka next week tutakaposhuka na vijana wa The Blues!! Support yenu ni ya muhimu!!
 
Powa Kaduguda, mimi mbali mbali na vijana wa darajani.
 
Powa Kaduguda, mimi mbali mbali na vijana wa darajani.

Kwa kweli leo Madrid wamepewa darasa kali la kabumbu--- kale ka-Messi dawa ni kukapa Daudi Salum [Bruce Lee] amuondoe badama tuuuu

Casillas kapigwa yenu mpaka kachoka... Halafu Henry played one of the best games this season

Nimefurahi na pole waliohuzunika

BESOS BARCA!!!!!!!!!!
 
Real wana bbahati sana kufungwa 6 maana ngome yao ilivyokuwa inavuja hata goli 10 ingekuwa halali yao. Chelsea VS Barc kwenye UEFA inaweza kuwa mechi nzuri sana kama timu zote zitacheza attacking football. Hii mechi inaweza kwenda kwa timu yeyote na si ajabu ikaamuliwa kwa penalties.
 
Duh game ilikuwa ya kufurahisha mno,hakuna rafu ndio maana XAVI na INIESTA walikuwa wanacheza kama wanavyotaka.Canavaro amechoka mpira wa Spain spidi haiwezi arudi kwao Italy
Nilifurahishwa na kiwango cha Henry naona amerudi kwenye fomu yake na yule dogo PIQUE kweli Fergie alifanya la maana kumrudisha Barca
 
Sitegemei kama Chelsea watakubali kufungwa kirahisi kama MADRID ,bila Casillas jana wangepigwa hata 10
 
Back
Top Bottom