Maxence Melo
JF Founder
- Feb 10, 2006
- 4,230
- 13,415
Hapana Shadow, ni 2 - 4REAL Madrid naona wamepata bao. 3-2
Hapana Shadow, ni 2 - 4REAL Madrid naona wamepata bao. 3-2
Hapana Shadow, ni 2 - 4
Dah, pole mpwa. Maji ya shingo!Asante mungu tunapunguza idadi ya magoli Mardid 2 Barc 3
Dah, pole mpwa. Maji ya shingo!
Kwa wale wasio na luninga mnaweza ona game hili live kwa Kispanish kupitia hii link. http://www.rojadirecta.com/ustream/futbolargento
Jamani Messi ananifurahishaa.goli la tano
Jamani Messi ananifurahishaa.goli la tano
BJ hupo. umemwona umpendaye anavyosakata kabumbu!!
Huyu Messi anataka leta ungomvi na my Bellies! Achana naye...kwanza mfupi!
BJ hupo. umemwona umpendaye anavyosakata kabumbu!!
Naona Henry yupo benchi na wamemwekea barafu kwenye goti lake la kulia.
Huyu Messi anataka leta ungomvi na my Bellies! Achana naye...kwanza mfupi!