Kuichoma moto mitambo ya Dowans

Acheni uchizi.....
nonspuriousness required, anayekata umeme ni nani? Hapa munataka kuwatetea ndugu zenu wanafaidika kwa maumivu yetu.,sioni kosa la DWNs hapa, kosa ni la wale waliosema uwa richmond ni coruption lakini wasiwawajibishe badala yake wanapigia makofi mauzo yake na fasttruck ineption yaka warithi.
 
mmeona eee !!!! sasa tungeipiga moto haya yote yasingetokea .. ile mitambo inawapa faida gani sasa?tutafutae alternative nyingine
mtakatifu Ivuga, je huo ni utakatifu, kama vp weka plan tufanyeje ili tukatekeleze hicho. Na wapi sehemu ya kujiorganise!? Nasubiri tamko!
 
mkuu msamehe jamaa. Labda umeme ulimkatikia
sasa mkubwa hiyo kitu tufanye lini.hilo wazo zuri sana.haihitaji watu wengi.ile kitutunaifanya saa nne asubuhi wakati wa foleni coz hawa fire kufika dowans yote kwishiney na mafaili yao.
 
Kuchoma ni rahisi tu na hatuwezi kujulikana.

Bomu la petroli tuu, mbona watu wanaiba benki na hawakamatwi. Mbona bilioni 5 ziliibwa NBC Moshi?

Na pia Tuchome Tanzanite one, Buzwagi.

Na Soroti Lodge serengeti (ya Kiongozi fulani ZNZ).

Watanzania uoga umetuzidi, tuwe kama Nigeria, Kenya, Uganda na Rwanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom