Kuhusu wito kwenye usaili M-Gas au Kopa Gas

RoadLofa

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
1,347
2,957
Wadau nilifanya maombi ya kazi nafasi ya marketing & sales kwenye kampuni tajwa hapo juu na interview nimetumiwa meseji itakuwa tar 25 saa 9 mchana.

Sasa ombi langu kama kuna mtu anafanya kazi kwenye iyo kampuni au aliwahi au anaifahamu iyo kampuni anipe mwanga kidogo kuhusu salary zao, pia kama niende au nipotezee maana interview nyingi watu tumekuwa tunaitwa kukamilisha sheria za ajira kwa kampuni na wanapewa job watu wasiostahiri kupitia connection.

Interview wamesema itafanyika tegeta Skanska kwenye ofisi za M-GAS au KOPA GAS
 
KUANZIA hapa Usha disqualify, huna confidence ni mtu wa kugive up. Utadondosha na kulitia hasara kampuni
 
Wadau nilifanya maombi ya kazi nafasi ya marketing & sales kwenye kampuni tajwa hapo juu na interview nimetumiwa meseji itakuwa tar 25 saa 9 mchana.

Sasa ombi langu kama kuna mtu anafanya kazi kwenye iyo kampuni au aliwahi au anaifahamu iyo kampuni anipe mwanga kidogo kuhusu salary zao, pia kama niende au nipotezee maana interview nyingi watu tumekuwa tunaitwa kukamilisha sheria za ajira kwa kampuni na wanapewa job watu wasiostahiri kupitia connection.

Interview wamesema itafanyika tegeta Skanska kwenye ofisi za M-GAS au KOPA GAS
Tumebadilisha muda interview itafanyika saaa mbili asubuhi Asante
 
uliza na uku
Uulizwe nini sasa?
 
Mshkaji wangu alifanya kazi kitengo fulani (Sitataja) Kopa Gas na mshkaji mwingine kitengo tofauti.

Mshkaji wa pili akawa nje ya Dar.

Wanakwambia washkaji wagumu kulipa mshahara unaweza toboa zaidi ya miezi miwili bila mshahara. Mshkaji mmoja kati ya hao akaondoka na mali za kampuni baada ya kutimia miezi mitatu bila malipo.

Na kampuni hata haijamtafuta. Its like wanajua kua huyu kaondoka na mali zetu kwavile anatudai.

Kama kuna mtu yupo Kopa Gas hapa na ana ushuhuda tofauti na huu afanye kutupa update.
 
Back
Top Bottom