RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,347
- 2,957
Wadau nilifanya maombi ya kazi nafasi ya marketing & sales kwenye kampuni tajwa hapo juu na interview nimetumiwa meseji itakuwa tar 25 saa 9 mchana.
Sasa ombi langu kama kuna mtu anafanya kazi kwenye iyo kampuni au aliwahi au anaifahamu iyo kampuni anipe mwanga kidogo kuhusu salary zao, pia kama niende au nipotezee maana interview nyingi watu tumekuwa tunaitwa kukamilisha sheria za ajira kwa kampuni na wanapewa job watu wasiostahiri kupitia connection.
Interview wamesema itafanyika tegeta Skanska kwenye ofisi za M-GAS au KOPA GAS