Kuhusu wanahabari kuigomea serikali na kundamana kupinga Mwanahalisi kufungiwa

Uholanz anasomea certicate of journalism and democracy hiyo MBA uko wa Kubenea hakuna mwenye sifa kwa sasa labda mtoto wake atakuja soma MBA


Ni bora hiyo MBA kuliko karibu nusu ya mawaziri wenu na Wabungw waliofoji vyeti vya shule na vyuo! Ndiyo maana hakuna kizuri kinachoendelea hapa nchini sasa hivi, ni kutapatapa tu kwa CCM!
 
Hao waandishi watakaogoma mnawajua au mnataka tu kufurahisha jamvi, ni nani atashindwa kwenda kwenye Kampuni la simu za mkononi na kuTrace no, zangu na watu tuliowasiliana nao? Hata ukiwa na kesi za Mawasiliano au mtu kakutukana pata kibali cha POLISI unaruhusiwa kufuatilia no. za mbaya wako na wote waliompigia. Hebu angalia No. zote zilizofuatiliwa ni za Kampuni moja kuna ugumu gani kumpata mshabiki akakumegea unaa, hapo panataka usomi? TUACHE MAJUNGU
 
mhariri mkuu wa Mwanahalisi Said Kubenea elimu yake ni darasa la saba(7)! habari za mwanahalisi ni za kizushi zaidi!

Duh! kumbe bado unasumbuliwa na kasumba za kale! Kumbe bado unadhani ufahamu unapatikana pekee kwa kuingia darasani? Sasa nini nafasi ya experiance? Umakini wa mtu haupimwi kwa kiwango cha elimu aliyonayo, bali kwa uwezo wake wa kuibua na kutatua changamoto zinazokabili maisha yake. Kwa hili mtasimini KUBENEA na mwanahalisi yake utapata jawabu.
 
Sitakwamini mlengwa kati!!leta ushahidi kama kweli kubenea ni std 7 anayewaumiza vichwa mafisadi wenu,vinginevyo ulale na usiamke tena ngoromiko wee.

Ha ha ha ha.. Mkuu umenifurahisha ulivyomalizia hiyo comment yako.. Inaonyesha kweli huyo jamaa anafanania ngoromiko...

Sent from Tora Bora..
 
mhariri mkuu wa Mwanahalisi Said Kubenea elimu yake ni darasa la saba(7)! habari za mwanahalisi ni za kizushi zaidi!
Ndugu yangu uwe unashirikisha ubongo hata kama unafaidi matunda ya kifisadi au ndo mlioshirki nini zoezi la kumwangamiza Dr. Uli? kama ni uzushi si angepelekwa mahakamani akaaibishwe na elimu yake? use your common sense you GAMBA
 
Serikali imetupunguzia uchafu kwa kulifungia hili gazeti. Inatakiwa tuwashukuru

Duh! Wewe ni kikwazo cha maendeleo ya taifa. Sitakulaumu sana kwasababu hata shetani huyachukia yaliyo mema mbele za Mungu. Wewe na serikali yako mnalichukia Mwanahalisi kwa mazuri yake........
 
mhariri mkuu wa Mwanahalisi Said Kubenea elimu yake ni darasa la saba(7)! habari za mwanahalisi ni za kizushi zaidi!

Kama mtu mwenye elimu ya darasa la saba anajitahidi kuandika mauchafu ya serikali kiasi kwamba inakuwa ngumu hata kumshtaki sanasana mabavu ya kufungia gazeti hutumika, nadhani apongezwe kwa kujitahidi pamoja na elimu yake ndogo, Hebu tugeukie kwa upande wa watu wenye Elimu nzuri kama Rais wetu ana shahada ya uchumi je anaitumia ipasavyo?
 
Nashangazwa na serikali kudeal na mwanahalisi ila nimegundua kuwa hawa viongozi wapo kwa manufaa binafsi ndo maana hawataki kuanikwa madudu yao
 
mhariri mkuu wa Mwanahalisi Said Kubenea elimu yake ni darasa la saba(7)! habari za mwanahalisi ni za kizushi zaidi!

kubenea amefanya mengi kwenye taifa hili na kupelekea kutambuliaka na kila mtanzania anaejitambua sasa wewe tutajie kazi ulizozifanya za maana pamoja na dr dr dr zako zaidi ya ile ya kuhemewa kchooi
 
Back
Top Bottom