Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 70
Jamani haya mambo ya kugombana hapa yametoka wapi? Mimi sipo mrengo wowote ila Tukumbuke tu kuwa Israel ni Taifa La Mungu. Halitakaa lishindwe hata mara moja. Kumbuka maneno haya ya JEHOVA '' SIKIA Ee ISRAEL ' AKULAANIYE NITAMLAANI NAYE AKUBARIKIE NITAMBARIKI'' Narudia sifungamani na upande wowote kati yenu.
Usijifiche kwenye nyasi..huku unasema hufungamani huku unaleta "mapambio ya kanisani na inferioty complex" shame on you