Kuhusu Vita ya Siku Sita!

Status
Not open for further replies.
Je Buchanan unataka kutoa ujumbe gani katika thread hii? Je unashabikia uovu ambao Israel wanawafanyia waarabu na hapa ni wapalestina? Kumbuka ni wayahudi hao hao walimtesa bwana yetu Yesu. je kwa imani yako ulifurahia kuteswa kwa Yesu pia?

Inashangaza pale mtu unapokuwa na upenzi wa mambo ya uovu na dhuruma kwa watu wengine!!!!!

Hujajua msingi wa mada hii! Unamhusisha Yesu na mambo yasiyomhusu! Nani kakuambia waliomtesa Yesu ni waisrael peke yao? Waliotoa amri ni utawala wa kirumi na askari wa kirumi ndio waliomwua Yesu wakishirikiana na wakuu wa makuhani wa Israel lakini ujue siyo wayahudi wote waliunga hicho kitendo mkono! Pia ilifanyika hivyo ili tuupate ukombozi, haya yote yalitendeka kutimiza maandiko, inaonekana ni kwa jinsi gani huyaelewi maandiko matakatifu.
 
kifupi ni kuwa hata waisrael wenyewe hawana maelezo sahihi ya jinsi walivyoshinda, kwani walikuwa na jeshi dogo na vifaa vichache. Ila cha kushangaza waarabu hawakutumia silaha zao hata baada ya vita kuisha silaha zao nyingi zilibaki kama zilivyo. na kuna baadhi waliohojiwa ambao walisema kuwa walikuwa wanaona wanajeshi waliovalia sare nyeupe, wengine walisema waliona malaika.

Kifupi Mungu alikuwa upande wa wa-Israel na ndio maana kuna vitabu vingi vimeandikwa kuhusu vita hii vyote kivika havina majibu sahihi. Na kuhusu kujifunza kwa waarabu, usisahau unabii uliotolewa na nabii Isaya na kurudiwa na Yesu kuwa watakuwa na macho ila hawataona na watakuwa na masikio ila hawata sikia.

Mambo ya Mungu hueleweka kwa wale tu walio katika nafasi ya kuelewa

Hakika
 
Mama Mdogo,

Kama mungu ana taifa teule, ina maana mungu ana upendeleo?

Siyo hivyo, aliamua kufanya hivyo baada ya kuwa mataifa yote waliokuwa wameizunguka Israel wlikuwa wanaabudu miungu mingine, na aliamua kutumia kataifa kadogo ili kuudhihirishia ulimwangu ukuu wake kwamba ushindi wa Mungu hautokani na wingi wa pesa ,watu au jeshi kubwa! Soma Bible habari ya wakoma watatu waliotumiwa na Mungu wakawakimbiza jeshi lenye maelfu ya askari na magari.
 
Pro-Isreael utawajua kushabikia mauaji? damn!

waarabu wamejifunza kwamba Israel ni jimbo la merakani, dawa ni kupambana na amerika na vibaraka wao popote walipo hata kama ni Tanzania..period

Jehanamu inawasubiri waisrael na washabikia wao, lakini kabla ya hapo jeshi la Creator litawatunga ..time will tell.

Umebaki peke yako ukipotea njia, omba Mungu akupe ufahamu zaidi kuhusu Israel na utaelewa mengi sana ya kushangaza! Ila muhimu ni kuwa uwe na moyo wa kujifunza na kuukubali ukweli moyoni mwako maana hata siku moja cheupe hakiwezi kuwa cheusi. Ukweli uko palepale hata kama dunia nzima itapinga na hakuna wa kumuuliza Mungu maswali.
 
Wewe ni muarabu wa wapi? na makubaliano hayo yalifanyika lini?

Upendavyo wewe si wapendavyo waarabu..hilo sasa si swala la waarabu, swala la kuwaadhibu waisrael linawahusu waislamu wote duniani. period

Unaposema waislam hapo ndipo unaharibu maana bora ungesema waarabu kidogo wanajitahidi kidogo.
 
Only stupid and hypocrcy join the enemy of the creator..

Israel atapigwa kipigo cha mbwa muda si mrefu.
maneno kama hayo aliyatoa shehe mmoja wa palestina mwaka 1948 kuwa only 400 rifles zinaweza kuingusha Israel-
naamini unajua kilichotokea-ukiacha hii,6 days war-arab states,zote kwa ujumla zikiwa na population ya about 40 million people,walishindwa kuiangusha Israel iliyokuwa na idadi ya watu kama laki 5-SO KWAME ISRAEL HAITA KUJA ANGUKA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom