mkuu hapo umechemsha...nyie ndo mliokremisha kwamba engineer lazima asome pcm akat pgm na pcb wanaweza kuwa ma engineer pia,au kusoma akaunt lazima usome egm!!..mambo hayako ivo mkuu embu amka...kama unabisha nenda st joseph pale uone mambo yalivyo!!!Hahahaha hi ndo bongo bhana hgk na computer science wap na wap