Chongolo aliachia ngazi kwa skendo mbaya, leo kateuliwa kumtumikia nani?

Magufuli 05

JF-Expert Member
May 7, 2023
944
1,989
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania jina lako ni Tamu Sana.

Huyu Jamaa aliachia nafasi yake ya chama kwa skendo za fedheha kwa nchi. Chama kikasema kinachunguza na kwamba kitatoa taarifa uchunguzi ukikamilika.

Hata jua halijazama bwana Jamaa kateuliwa wakati hata taarifa yake ya fedheha haijatoka. Hivi kweli kwa skendo zile huyu anafaa kuwa mtumishi wa Watanzania? Wewe uliyemteua akili yako huwa inawaza Nini kuhusu Tanzania na Watanzania? Kweli mmefikia hatua ya kuwadharau Watanzania kiasi hiki? Mnawanajisi wananchi kwa kuwapa kiongozi bomu?

Masikini hata aibu mmekosa. Kuna Watanzania wachapa kazi wengi tu lakini mmewaacha. Mnaramba matapishi. Mnarudisha watu wabovu. Mkifa mnahangaisha wanajeshi wetu kuwatembeza kwa mizinga utadhani mlifanya cha maana Sana kumbe serikali zenu zilikuwa za kishikaji na wizi tu.

Sawa kama hamuwaheshimu Watanzania kwa kuwapa viongozi matapeli basi mungu atawaheshimu Watanzania kwa kuwasafisha nyie. Karma is real.

Tanzania yetu ndiyo nchi ya amani🇹🇿

Soma:
- Rais Samia afanya Mabadiliko madogo ya uongozi Serikalini, amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe
 
Hivi vyeo vya kuteuliwa na Mwenyekiti wa CCM sioni haja ya kuvijadili maana hata merits zake hazijulikani.
 
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania jina lako ni Tamu Sana.

Huyu Jamaa aliachia nafasi yake ya chama kwa skendo za fedheha kwa nchi. Chama kikasema kinachunguza na kwamba kitatoa taarifa uchunguzi ukikamilika.

Hata jua halijazama buana Jamaa kateuliwa wakati hata taarifa yake ya fedheha haijatoka. Hivi kweli kwa skendo zile huyu anafaa kuwa mtumishi wa Watanzania? Wewe uliyemteua akili yako huwa inawaza Nini kuhusu Tanzania na Watanzania? Kweli mmefikia hatua ya kuwadharau Watanzania kiasi hiki? Mnawanajisi wananchi kwa kuwapa kiongozi bomu?

Masikini hata aibu mmekosa. Kuna Watanzania wachapa kazi wengi tu lakini mmewaacha. Mnaramba matapishi. Mnarudisha watu wabovu. Mkifa mnahangaisha wanajeshi wetu kuwatembeza kwa mizinga utadhani mlifanya cha maana Sana kumbe serikali zenu zilikuwa za kishikaji na wizi tu.

Sawa kama hamuwaheshimu Watanzania kwa kuwapa viongozi matapeli basi mungu atawaheshimu Watanzania kwa kuwasafisha nyie. Karma is real.

Tanzania yetu ndiyo nchi ya amani🇹🇿
Yeye mwenyewe alisema kwa tuhuma zinazomkabili ameona ni vema ajiuzulu lakina karudi tena.

Kitaa kugumu sana
 
Watawala washazoea malalamiko yenu.

HAWAJALI LOLOTE.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kateuliwa makonda sembuse chongo,we tulia kama nafasi ya kupiga imekupita kushoto
 
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania jina lako ni Tamu Sana.

Huyu Jamaa aliachia nafasi yake ya chama kwa skendo za fedheha kwa nchi. Chama kikasema kinachunguza na kwamba kitatoa taarifa uchunguzi ukikamilika.

Hata jua halijazama buana Jamaa kateuliwa wakati hata taarifa yake ya fedheha haijatoka. Hivi kweli kwa skendo zile huyu anafaa kuwa mtumishi wa Watanzania? Wewe uliyemteua akili yako huwa inawaza Nini kuhusu Tanzania na Watanzania? Kweli mmefikia hatua ya kuwadharau Watanzania kiasi hiki? Mnawanajisi wananchi kwa kuwapa kiongozi bomu?

Masikini hata aibu mmekosa. Kuna Watanzania wachapa kazi wengi tu lakini mmewaacha. Mnaramba matapishi. Mnarudisha watu wabovu. Mkifa mnahangaisha wanajeshi wetu kuwatembeza kwa mizinga utadhani mlifanya cha maana Sana kumbe serikali zenu zilikuwa za kishikaji na wizi tu.

Sawa kama hamuwaheshimu Watanzania kwa kuwapa viongozi matapeli basi mungu atawaheshimu Watanzania kwa kuwasafisha nyie. Karma is real.

Tanzania yetu ndiyo nchi ya amani
BORA INGEUNDWA TUME KUMSAFISHA ILI KUWADANGANYA WATANZANIA
 
Chongolo hatakuwa wa mwisho, wala sio wa kwanza, tayari yupo Makonda, wanaweza kufuatia wakina Gekul na Sabaya.

Hivyo ukimshangaa Chongolo nami nakushangaa wewe.
 
Back
Top Bottom