Kuhusu kitabu kilicho vunja record kwa muda mfupi "Fire and Fury, Inside The Trump White House"

Donald Trump asingeweza kuwa Bilionea na kuandika vitabu vingi kama angekuwa chizi. Nenda ukafanye research kwa kuhusu masuala ya kimataifa badala ya kutoa matusi. Usifikiri siasa za Africa ndio zipo Marekani. Wamarekani wamesoma wanajua kinachoendelea sio kama wewe uliyesoma shule za kata
Sawa sawa,na hz scandal kwa US kawaida tu
 
Kwel kabisa invalid
jamaa mjanja sana hebu cheki contents zake lazima uvutike kukisoma
Screenshot_20180107-100818.png
 
Trump ni mwehu ameongeza majeshi afghanistan maana na gharama zimeongezeka

Hebu kauli hii itoe kwa kiongozi wako uone izito au wepesi wa matamshi yako!! Msitembelee nyota ya Democracy ya nchi za watu...Piganieni yenu kwanza...muwe na ujasiri wa kuwakosoa viongozi wenu hadharani bila hofu halafu ndio twende kwenye mataifa ya wengine...
 
Kisoko kitabu hicho
 

Attachments

  • Fire+and+Fury+-+Michael+Wolff.pdf
    1.9 MB · Views: 21
Nimeangalia Aljezeera na CNN tangu asubuhi wakizungumzia hiki kitabu. Nilicho-note wengi wanakimbilia kununua kutaka kumjua zaidi Trump na jamaa ametumia fursa vizuri sana, maana amewateka watu kuwa amefanya mahojiano na aliyekuwa msaidizi wake na kuelezwa mamilioni ya maneno na upuuzi alioufanya ndani ya White House pamoja na kashfa ya kuungana na Urusi wakati wa uchaguzi kupitia mtoto wake wa kiume. Kubwa nimeona kwamba wezetu wana utamaduni mzuri mno wa kupenda kusoma vitabu. Bahati mbaya maduka yote yaliyoonesha wanunuaji wamejaa kukinunua, sikuona black.
Na kingine tunachojifunza ni kuwa wenzetu wako huru kukosoana.
 
Back
Top Bottom