Wewe heri mama yako angezaa mkate akuleLeave East African land to Cushites and Nilotes, you Bantu belong to West Africa. Go back where you belong.
Somalia juu zaidi
Pole sana 😢Peleka ujinga na ukabila wako mbali.
Mseveni aliwakun'guta huko Migogo kimya kimya mpaka leo hawathubutu kupandisha benders kuleAngalieni ipya sheria na sera za ardhi ya nchi yenu ambayo sehemu kubwa ya ardhi imemilikiwa na mabwanyenye wacheche na kusababisha asilimia kubwa ya wananchi wenu ama kukosa sehemu ya makazi ama kuishi kwenye slams
Hii imesababisha kutengeneza migogoro nchi yenu kutamani ardhi za majirani kama hii na ile ya kisiwa cha migingo uganda
Nchi pekee ambayo imeshawaelewa na ninyi mnalitambua hiko ni Tanzania ambayo kwa mara kadhaa mmejaribi mkashindwa kuutangaza mlima kilimanjaro kama wenu na kujaribu kuongiza mada ya umilikaji wa ardhi kwenye EACO acheni tamaa wanyanganyeni mabwenyenye ardhi yenu mgawie wananchi na acheni kutamani ardhi za nchi nyingine
Pemba hamuwezi kuipata maana hamjui kuwa ile ni nchi nyingine iliyounga na na TanganyikaSomalia hawana tatizo kwani wao wanafuata sheria mpya ya mipaka. Sheria hii inairuhusu nchi yoyote ile kuchora laini inayofuata coastline ya nchi. Sheria hii mpya imeleta matizo duniani kote. Kenya ikiamua kutumia sheria hii basi nyie itabidi mtupatie Pemba. Kwa sasa nchi nyingi za Afrika zinafuata sheria ya zamani iliyokuwa inatumika enzi za Ukoloni. Hii ICJ ndio imeunda sheria hii mpya. Sheria hii mpya imeleta vurugu dunia nzima.
Acha uongo kwani soko lenu la mirada kubwa liko wapi?Wakenya bado wanaishi kwenye migingo. Halafu Uganda tunatrade nao sana. Somalia hatuna uhusiano nao zaidi ya wao kutuma Al Shabab kufanya mashambulizi Kenya.
Kwa huu mchoro Sumalia wana hakiSio kwamba tutachukua kimabavu, ni kwamba ICJ itatupatia kisheria.
View attachment 1969179
Tazama map hii vizuri. Chukua muda wako. Itazame tena. Ikiwa Somalia ana haki ya kuteremsha mipaka yake ili ilingane na land boundary yake, basi pia Kenya tuna haki hio hio.