Kuhusu ajira mpya za walimu 2013/2013

Realbest

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
812
294
Kwa taarifa nilizozpata hivi punde kutoka hapo mkoani IRINGA mjini, inasemekana jana trh 11 NAIBU WAZIRI WA ELIMU Alikuwa na vikao na wakuu wa shule na wataaluma.

Mkuu mmojawapo akamuulza tujiandae kuwapokea waalmu wapya lin? Mheshimiwa akajibu APRIL moc ndipo mtaanza kuwapokea walimu wapya kutokana na serikari kutingwa na mambo ya katiba yameingiliana!

WADAU KUTOKA IRINGA TUTHIBITISHIENI BAKI ANGALAU TUWE NA UHAKIKA.
 
Sasa kama ni hivyo kwanini asiwajurishe walimu watarajiwa kwa njia rasmi ili wajiandae kisaikolojia? Hata wakisema desemba sio tatizo watoe majina ili kama kuna watu hawamo wafanye mishe zingine. Kama kulima nyanya au kuuza mishikaki au kusaini mikataba na shule binafsi. Kuto toa majina ndilo tatizo kubwa! Watoe majina kuripoti hata wakisema 2015 itakuwa poa tu.
 
Hapo naweza kukubaliana na wewe kwasababu nami kuja mdau wa karibu sana wa elimu alinipa taarifa hiyohiyo kwamba serikali haina fedha ndo inafana michakato ya kutafuta hela
 
Mh! Kazi kwelikweli...ushauri wangu vijana tupige kazi mtaani mwenye mchongo afanye serikali kigeugeu sana wanaweza sema hakuna ajira hii ndo tz....
 
Ndio maana mimi naona bora kwenda wizarani watujulishe kitu kinachoeleweka kwasababu kila mtu anaongea lake humu ndani,mfano mimi leo kuna watu wawili tofauti wamenipa taarifa kuwa wiki mbili hizi watatoa majina na tayari fungu limeshatolewa.
 
Kiukwel wajameni nimechoka sana na taarfa hz, wa2 wa IRINGA MJINI TUCTHIBITISHIENI Ukweli jamanan
 
Ndio maana mimi naona bora kwenda wizarani watujulishe kitu kinachoeleweka kwasababu kila mtu anaongea lake humu ndani,mfano mimi leo kuna watu wawili tofauti wamenipa taarifa kuwa wiki mbili hizi watatoa majina na tayari fungu limeshatolewa.

Huenda labda baba lai, 2vute subira
 
Sasa kama ni hivyo kwanini asiwajurishe walimu watarajiwa kwa njia rasmi ili wajiandae kisaikolojia? Hata wakisema desemba sio tatizo watoe majina ili kama kuna watu hawamo wafanye mishe zingine. Kama kulima nyanya au kuuza mishikaki au kusaini mikataba na shule binafsi. Kuto toa majina ndilo tatizo kubwa! Watoe majina kuripoti hata wakisema 2015 itakuwa poa tu.
Hapo sasa ndonazd kuchoka hasa kwa cc tuliozoea kutemea,
 
Hii serikali inafaa kupinduliwa kutokana na kutokuweka wazi mambo yake na hata wakati mwingine kuwadanganya wananchi wake.----IN CCM.
 
Naskia asilimia kama themanini watapelekwa vijijini, mjini tayari kuna walimu wa kutosha, kuna jamaa yangu mmoja mwaka jana alipangiwa kondoa ndani alishindwa akarudi jins maisha yalivyo magum uko kondoa,
 
Majina ya walimu yatatoka by thursday nextwk kadili ya maelezo ya jiran yangu mfanyakazi wa pspf ambae anadahili walimu kwenye mfuko,stay tuned.
 
Ndio maana mimi naona bora kwenda wizarani watujulishe kitu kinachoeleweka kwasababu kila mtu anaongea lake humu ndani,mfano mimi leo kuna watu wawili tofauti wamenipa taarifa kuwa wiki mbili hizi watatoa majina na tayari fungu limeshatolewa.

Baba lai...izo wik mbili ni kuanzia ipi kaka hii au iliyopita? Mmmhhh
 
Serikali isituchoshe pia sisi tusiichoshe basi tusichoshane, mshahara wenyewe kidogo hlafu wanaringa kutoa ajira,waache! Tutalima bustani.
 
Back
Top Bottom