Kuhusu ACT - Tanzania

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
375
Naulizwa sana kwenye inbox na simu kuhusu ukweli wa hiki chama mpya cha ACT-Tanzania,

Majibu yangu ni Mafupi tu kama yafuatayo:-

i) Kwanza kabisa siwaungi mkono wote wanaouliza kwa mshituko na mshangao kana kwamba ni jambo/tukio geni au la ajabu kusikia kuanzishwa kwa chama kipya!
Watu wanaokubali na kuunga mkono mabadiliko/mfumo wa vyama vingi watatia aibu sana kama watachukia kuona chama kipya kinazaliwa, wakati huo wao wakilalama kuwa wanabanwa na chama tawala kisichoruhusu ushindani huru,

Watu hao wanashindwa kumudu ushindani ndani ya mfumo uliopo na badala yake wanatumia mbinu hasi za kuwahadaa wananchi kuwa hakuna chama kingine halali zaidi yao, hii ni dalili ya udictator, umimi, uwao, usisi.

ii) Kuhusu mimi kujua uwepo wa chama kipya cha ACT-Tanzania ni kweli nafahamu uwepo wa chama hiki kipya.
Kuwepo kwa vyama vingi vyenye dira, itikadi na falsafa tofauti ni namna nzuri ya kuweka ushindani huru wa kujiuza kwa falsafa, imani na itikadi zao ili waungwe mkono na umma hatimaye watwae dola,

Dosari kubwa imevikumba vyama vya siasa vilivyopo hivi sasa hapa Tz, waenezi wao wameacha na kusahau kunadi itikadi, falsafa na imani za vyama vyao badala yake wanaeneza shutuma, uzushi na hukumu za matusi dhidi ya vyama vyingine,

Tabia hii imemea na kuota mizizi katika vyama vyote sasa vilivyopo hapa Tz, hakuna hotuba inayoelezea dira ya chama wala fafanuzi ya falsafa yake kwa kuijengea hoja juu ya hali ya jamii iliyopo, wengi huona vyema pale wanapokutana na shutuma ya chama kingine nakuigeuza kuwa hoja zao majukwaani, watu hawa ni watupu kwenye mijadala wanapokutana na mwendesha mjadala au mdahalo anaeweza kushikiria hoja mara nyingi hukuwepa kuhudhuria midahalo na mijadala yenye uchanganuzi wa issues.

Mwisho, NARUDIA MANENO YANGU...''HAKUNA CHAMA CHA SIASA KILICHOANDIKWA KWENYE QURAN WALA KWENYE BIBLIA'' hakuna chama halali wala haramu, vyote lengo lao ni moja tu, kutwaa dola na kuongoza serikali, isipokuwa ubora wa chama au ubovu wake hutokana na utashi wa viongozi wao tu, kuna vyama visivyo na ukabila kwenye katiba zao, lakini utashi wa viongozi wao unajenga taswira hiyo, havina udini lakini utashi wa viongozi wao unajenga taswira hiyo...

ACT-Tanzania itakapoanza ijiweke nje ya siasa za kuwinda matukio na za kutega upepo!!

Nyakarungu Jr 2014
+255-755 023 503

Waliokuelewa, dhima na lengo lako watakuja!

Mi naona napita tu.. Ila ngoja, labda utuambie umefikiria nini kuandika ulichoandika?

Usisingizie watu wameku'inbox au sms, ukijua hatuna ushahidi.. Sijaona mwanzo wala mwisho wa habari yako, maana ulichoandika sio hoja ni habari ya kawaida tu.

Lakini pia mahaba ya kisiasa yasikuzidi mpaka ukajikuta unaandika habari fiction badala ya factual.. Unatumia hisia.
Rudia kusoma ulichoandika halafu ujitafakari..

Kuweka namba ya simu sio ishara ya uhodari au ushujaa.. Ni ishara ya kutaka kuonekana u shujaa na hodari, kwamba unajua unachoandika. Ila kwa wewe jitafakari.
 
CCM na CHADEMA vinakaa maeneo ya katikati ya karatasi ya kura ya NEC, hii ina-affect psychology ya wapiga kura. Asipochagua kimoja kati ya hivyo wiwili basi, vyama vya chini yake mfano, cuf, nccr, tlp, udp vina nafasi kubwa ya kufaidi ikilinganishwa na vile vitakavyokuwa juu sana kama vile ACT. If this one works, jina la ACT limekipoteza..
 
Umemjibu inavyotakiwa, ungechelewa kidogo ningemjibu mimi,, kijana anatawaliwa sana na hisia kuliko uhalisia.
 
Waulizeni CCJ walianza kama ninyi hivi wakijinadi kwa mbwembwe kali na kuandikwa sana magazetini lakini walienda kufia Kibaha, wakarudi tena wakajivua Gamba na kuitwa CCK lakini wapi. Kwakuwa ninyi mtaanzia Kigoma kuja Dar nathani mtaishia Mwandiga na hapo mtajivua gamba na kujiita ACU or ACV..............ACZ tunawasubiri mnazani kuanzisha vyama na kuwapata wanachama ni mchezo mchezo tu.

Naulizwa sana kwenye inbox na simu kuhusu ukweli wa hiki chama mpya cha ACT-Tanzania,

Majibu yangu ni Mafupi tu kama yafuatayo:-

i) Kwanza kabisa siwaungi mkono wote wanaouliza kwa mshituko na mshangao kana kwamba ni jambo/tukio geni au la ajabu kusikia kuanzishwa kwa chama kipya!
Watu wanaokubali na kuunga mkono mabadiliko/mfumo wa vyama vingi watatia aibu sana kama watachukia kuona chama kipya kinazaliwa, wakati huo wao wakilalama kuwa wanabanwa na chama tawala kisichoruhusu ushindani huru,

Watu hao wanashindwa kumudu ushindani ndani ya mfumo uliopo na badala yake wanatumia mbinu hasi za kuwahadaa wananchi kuwa hakuna chama kingine halali zaidi yao, hii ni dalili ya udictator, umimi, uwao, usisi.

ii) Kuhusu mimi kujua uwepo wa chama kipya cha ACT-Tanzania ni kweli nafahamu uwepo wa chama hiki kipya.
Kuwepo kwa vyama vingi vyenye dira, itikadi na falsafa tofauti ni namna nzuri ya kuweka ushindani huru wa kujiuza kwa falsafa, imani na itikadi zao ili waungwe mkono na umma hatimaye watwae dola,

Dosari kubwa imevikumba vyama vya siasa vilivyopo hivi sasa hapa Tz, waenezi wao wameacha na kusahau kunadi itikadi, falsafa na imani za vyama vyao badala yake wanaeneza shutuma, uzushi na hukumu za matusi dhidi ya vyama vyingine,

Tabia hii imemea na kuota mizizi katika vyama vyote sasa vilivyopo hapa Tz, hakuna hotuba inayoelezea dira ya chama wala fafanuzi ya falsafa yake kwa kuijengea hoja juu ya hali ya jamii iliyopo, wengi huona vyema pale wanapokutana na shutuma ya chama kingine nakuigeuza kuwa hoja zao majukwaani, watu hawa ni watupu kwenye mijadala wanapokutana na mwendesha mjadala au mdahalo anaeweza kushikiria hoja mara nyingi hukuwepa kuhudhuria midahalo na mijadala yenye uchanganuzi wa issues.

Mwisho, NARUDIA MANENO YANGU...''HAKUNA CHAMA CHA SIASA KILICHOANDIKWA KWENYE QURAN WALA KWENYE BIBLIA'' hakuna chama halali wala haramu, vyote lengo lao ni moja tu, kutwaa dola na kuongoza serikali, isipokuwa ubora wa chama au ubovu wake hutokana na utashi wa viongozi wao tu, kuna vyama visivyo na ukabila kwenye katiba zao, lakini utashi wa viongozi wao unajenga taswira hiyo, havina udini lakini utashi wa viongozi wao unajenga taswira hiyo...

ACT-Tanzania itakapoanza ijiweke nje ya siasa za kuwinda matukio na za kutega upepo!!

Nyakarungu Jr 2014
+255-755 023 503

Naulizwa sana kwenye inbox na simu kuhusu ukweli wa hiki chama mpya cha ACT-Tanzania,

Majibu yangu ni Mafupi tu kama yafuatayo:-

i) Kwanza kabisa siwaungi mkono wote wanaouliza kwa mshituko na mshangao kana kwamba ni jambo/tukio geni au la ajabu kusikia kuanzishwa kwa chama kipya!
Watu wanaokubali na kuunga mkono mabadiliko/mfumo wa vyama vingi watatia aibu sana kama watachukia kuona chama kipya kinazaliwa, wakati huo wao wakilalama kuwa wanabanwa na chama tawala kisichoruhusu ushindani huru,

Watu hao wanashindwa kumudu ushindani ndani ya mfumo uliopo na badala yake wanatumia mbinu hasi za kuwahadaa wananchi kuwa hakuna chama kingine halali zaidi yao, hii ni dalili ya udictator, umimi, uwao, usisi.

ii) Kuhusu mimi kujua uwepo wa chama kipya cha ACT-Tanzania ni kweli nafahamu uwepo wa chama hiki kipya.
Kuwepo kwa vyama vingi vyenye dira, itikadi na falsafa tofauti ni namna nzuri ya kuweka ushindani huru wa kujiuza kwa falsafa, imani na itikadi zao ili waungwe mkono na umma hatimaye watwae dola,

Dosari kubwa imevikumba vyama vya siasa vilivyopo hivi sasa hapa Tz, waenezi wao wameacha na kusahau kunadi itikadi, falsafa na imani za vyama vyao badala yake wanaeneza shutuma, uzushi na hukumu za matusi dhidi ya vyama vyingine,

Tabia hii imemea na kuota mizizi katika vyama vyote sasa vilivyopo hapa Tz, hakuna hotuba inayoelezea dira ya chama wala fafanuzi ya falsafa yake kwa kuijengea hoja juu ya hali ya jamii iliyopo, wengi huona vyema pale wanapokutana na shutuma ya chama kingine nakuigeuza kuwa hoja zao majukwaani, watu hawa ni watupu kwenye mijadala wanapokutana na mwendesha mjadala au mdahalo anaeweza kushikiria hoja mara nyingi hukuwepa kuhudhuria midahalo na mijadala yenye uchanganuzi wa issues.

Mwisho, NARUDIA MANENO YANGU...''HAKUNA CHAMA CHA SIASA KILICHOANDIKWA KWENYE QURAN WALA KWENYE BIBLIA'' hakuna chama halali wala haramu, vyote lengo lao ni moja tu, kutwaa dola na kuongoza serikali, isipokuwa ubora wa chama au ubovu wake hutokana na utashi wa viongozi wao tu, kuna vyama visivyo na ukabila kwenye katiba zao, lakini utashi wa viongozi wao unajenga taswira hiyo, havina udini lakini utashi wa viongozi wao unajenga taswira hiyo...

ACT-Tanzania itakapoanza ijiweke nje ya siasa za kuwinda matukio na za kutega upepo!!

Nyakarungu Jr 2014
+255-755 023 503

Mkuu sikuwahi fahamu kuwa wewe ni mtupu kiasi hiki....ukisoma vizuri ufafanuzi wako utajiona ni kwa kiasi gani wewe ni mfuasi wa unayoyapinga na mbaya zaidi mwenye wivu wa kike...
1. I thought u cld tell JF members that ur among the founder of this new part but ur just narating and advertising weakness of other parts?
2؛‎ urr just posion mongers and rumor mongers....any serious institution will not accomodate u as always u grade urself a perfect creature in politics of Tanzania..
3. U will remain a traitor even in ur family for the if u will not change ur vision
Tunawatakia mafanikio mema wasaliti katika chama chenu kipya...najiuliza mlivyo weupe nani atakuwa chair....
 
Kwa mm nakiona hiki chama ni Adui wa upinzani maana waenezi wake na wapiga debe ni
1: Mamluki
2: Wasaliti
3: wafitini
4: Team lumumba(buk 7)
5: Team zitto

Ukishapendwa na chama tawala biashara yako kwisnei
 
Tuseme ukweli, mahaba watu waliyonayo juu ya chadema, yamewafanya wengi kuwa tahira, majinga, vipofu, zero thinking, yaani watu hawajielewi
 
Naulizwa sana kwenye inbox na simu kuhusu ukweli wa hiki chama mpya cha ACT-Tanzania,

Majibu yangu ni Mafupi tu kama yafuatayo:-

i) Kwanza kabisa siwaungi mkono wote wanaouliza kwa mshituko na mshangao kana kwamba ni jambo/tukio geni au la ajabu kusikia kuanzishwa kwa chama kipya!
Watu wanaokubali na kuunga mkono mabadiliko/mfumo wa vyama vingi watatia aibu sana kama watachukia kuona chama kipya kinazaliwa, wakati huo wao wakilalama kuwa wanabanwa na chama tawala kisichoruhusu ushindani huru,

Watu hao wanashindwa kumudu ushindani ndani ya mfumo uliopo na badala yake wanatumia mbinu hasi za kuwahadaa wananchi kuwa hakuna chama kingine halali zaidi yao, hii ni dalili ya udictator, umimi, uwao, usisi.

ii) Kuhusu mimi kujua uwepo wa chama kipya cha ACT-Tanzania ni kweli nafahamu uwepo wa chama hiki kipya.
Kuwepo kwa vyama vingi vyenye dira, itikadi na falsafa tofauti ni namna nzuri ya kuweka ushindani huru wa kujiuza kwa falsafa, imani na itikadi zao ili waungwe mkono na umma hatimaye watwae dola,

Dosari kubwa imevikumba vyama vya siasa vilivyopo hivi sasa hapa Tz, waenezi wao wameacha na kusahau kunadi itikadi, falsafa na imani za vyama vyao badala yake wanaeneza shutuma, uzushi na hukumu za matusi dhidi ya vyama vyingine,

Tabia hii imemea na kuota mizizi katika vyama vyote sasa vilivyopo hapa Tz, hakuna hotuba inayoelezea dira ya chama wala fafanuzi ya falsafa yake kwa kuijengea hoja juu ya hali ya jamii iliyopo, wengi huona vyema pale wanapokutana na shutuma ya chama kingine nakuigeuza kuwa hoja zao majukwaani, watu hawa ni watupu kwenye mijadala wanapokutana na mwendesha mjadala au mdahalo anaeweza kushikiria hoja mara nyingi hukuwepa kuhudhuria midahalo na mijadala yenye uchanganuzi wa issues.

Mwisho, NARUDIA MANENO YANGU...''HAKUNA CHAMA CHA SIASA KILICHOANDIKWA KWENYE QURAN WALA KWENYE BIBLIA'' hakuna chama halali wala haramu, vyote lengo lao ni moja tu, kutwaa dola na kuongoza serikali, isipokuwa ubora wa chama au ubovu wake hutokana na utashi wa viongozi wao tu, kuna vyama visivyo na ukabila kwenye katiba zao, lakini utashi wa viongozi wao unajenga taswira hiyo, havina udini lakini utashi wa viongozi wao unajenga taswira hiyo...

ACT-Tanzania itakapoanza ijiweke nje ya siasa za kuwinda matukio na za kutega upepo!!

Nyakarungu Jr 2014
+255-755 023 503

Acha uhuni wewe, nani kakuuliza? sema unahisi kuwa watu watakuwa wanajiuliza
 
Kwa mm nakiona hiki chama ni Adui wa upinzani maana waenezi wake na wapiga debe ni
1: Mamluki
2: Wasaliti
3: wafitini
4: Team lumumba(buk 7)
5: Team zitto

Ukishapendwa na chama tawala biashara yako kwisnei
Kama chama hiki kimesheheni watu hao, bila shaka kitakuwa bora zaidi na kina sura ya kitaifa kwa maana ina watu wa vyama vyote.
 
Hii hatari sana,Alliance for Cowards and Traitors--masalia wana kazi kwelikweli
 
CCM na CHADEMA vinakaa maeneo ya katikati ya karatasi ya kura ya NEC, hii ina-affect psychology ya wapiga kura. Asipochagua kimoja kati ya hivyo wiwili basi, vyama vya chini yake mfano, cuf, nccr, tlp, udp vina nafasi kubwa ya kufaidi ikilinganishwa na vile vitakavyokuwa juu sana kama vile ACT. If this one works, jina la ACT limekipoteza..

Wacha waanzishe vyama hata kama ni vingapi kwani hiyo ni turufu ya mwisho ya ccm kuelekea 2015 ili kugawa kura za upinzani.Lakini hiyo haitasaidia sana kama wananchi wameichoka.
 
Back
Top Bottom